Loading...
title : Familia ya Khakoo yatoa mito ya kulalia 100 kwa ajili ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
link : Familia ya Khakoo yatoa mito ya kulalia 100 kwa ajili ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Familia ya Khakoo yatoa mito ya kulalia 100 kwa ajili ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akipokea kutoka kwa Ain Shariff mto mmoja wa kulali kati ya mito 100 iliyotolewa na familia ya Khakoo kwa ajili ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo. Licha ya kutoa mito hiyo ya kulalia familia hiyo pia ilitoa mchango wa milango mikubwa miwili ya vioo na milango mikubwa miwili ya mbao.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiongea jambo na Khalil Khakoo wakati wa tukio la kukabadhiwa mito ya kulalia 100 iliyotolewa na familia ya Khakoo kwa ajili ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akitoa shukrani kwa familia ya Khakoo mara baada ya kukabidhiwa mito ya kulalia 100 iliyotolewa na familia hiyo kwa ajili ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo.Picha na JKCI.
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakishuhudia tukio la kukabidhiwa kwa mito ya kulalia 100 iliyotolewa na familia ya Khakoo kwa ajili ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo. Licha ya kutoa mito hiyo ya kulalia familia hiyo pia ilitoa mchango wa milango mikubwa miwili ya vioo na milango mikubwa miwili ya mbao.
Hivyo makala Familia ya Khakoo yatoa mito ya kulalia 100 kwa ajili ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
yaani makala yote Familia ya Khakoo yatoa mito ya kulalia 100 kwa ajili ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Familia ya Khakoo yatoa mito ya kulalia 100 kwa ajili ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/familia-ya-khakoo-yatoa-mito-ya-kulalia.html
0 Response to "Familia ya Khakoo yatoa mito ya kulalia 100 kwa ajili ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)"
Post a Comment