Loading...

GAVANA SHILATU ASHIRIKI UJENZI ZAHANATI ‘NI ULE ALIOAGIZA UENDELEZWE’

Loading...
GAVANA SHILATU ASHIRIKI UJENZI ZAHANATI ‘NI ULE ALIOAGIZA UENDELEZWE’ - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa GAVANA SHILATU ASHIRIKI UJENZI ZAHANATI ‘NI ULE ALIOAGIZA UENDELEZWE’, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : GAVANA SHILATU ASHIRIKI UJENZI ZAHANATI ‘NI ULE ALIOAGIZA UENDELEZWE’
link : GAVANA SHILATU ASHIRIKI UJENZI ZAHANATI ‘NI ULE ALIOAGIZA UENDELEZWE’

soma pia


GAVANA SHILATU ASHIRIKI UJENZI ZAHANATI ‘NI ULE ALIOAGIZA UENDELEZWE’


Na Mwandishi wetu Mihambwe 

Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu ameshiriki ujenzi wa Zahanati ya Ngongo iliyopo Kijiji Cha Ngongo kilichopo kata ya Michenjele.
Gavana Shilatu alienda kufuatilia utekelezaji wa maagizo yake ya ujenzi wa mradi huo wa Zahanati alioagiza ndani ya siku mbili uanze kutokana na kutelekezwa tangu Mwaka jana. 

Gavana Shilatu alifurahishwa kukuta nyasi zimefyekwa na Mafundi wapo kazini Kama alivyoagiza na kuwasisitiza watangulize mbele uzalendo kwa kuhakikisha mradi unajengwa kwa kuzingatia ubora na viwango vinavyolingana na thamani ya pesa. 

Katika ushiriki wa ujenzi huo Gavana Shilatu aliambatana na Serikali ya Kijiji pamoja na kamati ya ujenzi.



Hivyo makala GAVANA SHILATU ASHIRIKI UJENZI ZAHANATI ‘NI ULE ALIOAGIZA UENDELEZWE’

yaani makala yote GAVANA SHILATU ASHIRIKI UJENZI ZAHANATI ‘NI ULE ALIOAGIZA UENDELEZWE’ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala GAVANA SHILATU ASHIRIKI UJENZI ZAHANATI ‘NI ULE ALIOAGIZA UENDELEZWE’ mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/gavana-shilatu-ashiriki-ujenzi-zahanati.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "GAVANA SHILATU ASHIRIKI UJENZI ZAHANATI ‘NI ULE ALIOAGIZA UENDELEZWE’"

Post a Comment

Loading...