Loading...
title : Hafla ya kufunga mafunzo ya ndoa Pemba
link : Hafla ya kufunga mafunzo ya ndoa Pemba
Hafla ya kufunga mafunzo ya ndoa Pemba
AFISA Mdhamini Ofisi ya Rais Katiba sheria utumishi wa Umma na Utawala Bora Pemba Massoud Ali Mohamed, akizungumza katika hafla ya kufunga mafunzo ya ndoa na kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo hayo, hafla iliyofanyika katika jengo la Taasisi ya Nyaraka Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza katika hafla ya kufunga mafunzo ya ndoa na kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo hayo, huko katika taasisi ya Nyaraka Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akimkabidhi cheti cha uhitimu wa mafunzo ya ndoa yaliyotolewa na Ofisi ya Mufti Pemba, mhitimu wa mafunzo hayo hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya Nyaraka Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Hafla ya kufunga mafunzo ya ndoa Pemba
yaani makala yote Hafla ya kufunga mafunzo ya ndoa Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Hafla ya kufunga mafunzo ya ndoa Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/hafla-ya-kufunga-mafunzo-ya-ndoa-pemba.html
0 Response to "Hafla ya kufunga mafunzo ya ndoa Pemba"
Post a Comment