Loading...
title : Takwimu za bei mwezi Februari 2019 zatolewa
link : Takwimu za bei mwezi Februari 2019 zatolewa
Takwimu za bei mwezi Februari 2019 zatolewa
Mkuu wa Takwimu za Bei Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Zanzibar Khamis Abdul-rahman Msham akitoa Takwimu za Bei ambapo imeonekana kushuka kutoka asilimia 3.0 kwa mwaka uliomalizia January 2019 hadi asilimia 2.6 kwa mwaka uliomalizia February 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Zanzibar
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Zanzibar
Afisa Uchumi na Mafuta (ZURA)Omar Ali Yussuf akitolea ufafanuzi baaqdhi ya maswali yalioulizwa katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Zanzibar.
Meneja Uchumi Benki ya Tanzania tawi la Zanzibar Moto N'gwinganele Lugobi akijibu maswali yalioulizwa katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za ambapo imeonekana kushuka kutoka asilimia 3.0 kwa mwaka uliomalizia January 2019 hadi asilimia 2.6 kwa mwaka uliomalizia February 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Zanzibar.
Afisa Uchumi na Mafuta (ZURA)Omar Ali Yussuf kulia akibadilishana mawazo na Mtaalamu wa Uchumi chuo Kikuu cha Taifa SUZA Dk, Suleiman Simai Msaraka katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Takwimu za bei mwezi Februari 2019 zatolewa
yaani makala yote Takwimu za bei mwezi Februari 2019 zatolewa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Takwimu za bei mwezi Februari 2019 zatolewa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/takwimu-za-bei-mwezi-februari-2019.html
0 Response to "Takwimu za bei mwezi Februari 2019 zatolewa"
Post a Comment