Loading...
title : Hafla ya Utiaji Saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani
link : Hafla ya Utiaji Saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani
Hafla ya Utiaji Saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani
Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa ZSSF mara baada ya kuwasili katika Hafla ya Utiaji saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
Baadhi ya wageni Waalikwa waliohudhuria katika Hafla ya Utiaji saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na Viongozi wengine wakishuhudia Utiaji Saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
Mkurugenzi Mwendeshaji ZSSF Sabra Issa Machano (kushoto)akitiliana saini na Msaidizi Meneja Mkuu wa Kampuni ya Group Six International ltd Fang Xiaokai Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
Mkurugenzi Mwendeshaji ZSSF Sabra Issa Machano (kushoto)akibadilishana hati ya saini na Msaidizi Meneja Mkuu wa Kampuni ya Group Six International ltd Fang Xiaokai kuhusu Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
Mkurugenzi Mwendeshaji ZSSF Sabra Issa Machano akitoa hotuba baada ya kutiliana saini na Kampuni ya Group Six International ltd kuhusu Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ZSSF Dkt,Suleiman Rashid Mohamed akitoa hotuba katika hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa akitoa hotuba katika hafla ya Utiaji Saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanzibar.kulia ni Mkurugenzi Mwendeshaji ZSSF Sabra Issa Machano na Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ZSSF Dkt,Suleiman Rashid Mohamed
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Hafla ya Utiaji Saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani
yaani makala yote Hafla ya Utiaji Saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Hafla ya Utiaji Saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/hafla-ya-utiaji-saini-mradi-wa-ujenzi.html
0 Response to "Hafla ya Utiaji Saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani"
Post a Comment