Loading...

HATIMAYE RUGE MUTAHABA AZIKWA KIJIJINI KWAO KIZIRU,BUKOBA MKOANI KAGERA JIONI YA LEO

Loading...
HATIMAYE RUGE MUTAHABA AZIKWA KIJIJINI KWAO KIZIRU,BUKOBA MKOANI KAGERA JIONI YA LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HATIMAYE RUGE MUTAHABA AZIKWA KIJIJINI KWAO KIZIRU,BUKOBA MKOANI KAGERA JIONI YA LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HATIMAYE RUGE MUTAHABA AZIKWA KIJIJINI KWAO KIZIRU,BUKOBA MKOANI KAGERA JIONI YA LEO
link : HATIMAYE RUGE MUTAHABA AZIKWA KIJIJINI KWAO KIZIRU,BUKOBA MKOANI KAGERA JIONI YA LEO

soma pia


HATIMAYE RUGE MUTAHABA AZIKWA KIJIJINI KWAO KIZIRU,BUKOBA MKOANI KAGERA JIONI YA LEO

Mtoto wa marehemu Ruge akiweka ua katika kaburi la marehemu baba yake ambaye amezikwa leo kijijini kwao Kiziru Bukoba.HATIMAYE mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba umezikwa kishujaa nyumbani kwao katika kijiji cha Kiziru Kata ya Karabagaine Wilaya ya Bukoba na hakuna mahubiri yaliyotolewa na katibu huyo.
Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga, aakiweka mashada katika kaburi la marehemu Ruge Mutahaba ambaye amezikwa leo kijijini kwao Kiziru Bukoba,Shughuli za maziko zilianza kwa Ibada ya mazishi ambayo iliongonzwa na Katibu wa Parokia ya Itahwa, Anatory Kyatwa huku nyimbo za kihaya zikipamba tukio la mazishi.
Wazazi, familia, wakiweka shada la maua katika kaburi la mpendwa wao,marehemu Ruge Mutahaba ambaye amezikwa leo kijijini kwao Kiziru Bukoba.Katika shughuli hiyo viongozi mbalimbali wa Serikali wameshiriki,wakiwemo wasanii wa Bongo Muvi,Muziki,marafiki,ndugu na jamaa kutoka sehemu mbalimali walitoa heshima yao ya mwisho kwa mpendwa wao Ruge  katika Viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba kabla ya kuzikwa kijijini kwao.
Mkuu wa MKoa wa Dar Es Salmaa,Paul Makonda akiweka maua katika Kaburi la Ruge.
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, January Makamba akiweka shada.
Awali wakati wa tukio la kuaga mwili wake katika viwanja vya Gymkhana, Maaskofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba walimtaja Ruge kama kijana jasiri mzalendo na mfano wa kuigwa.
Askofu Desderius Rwoma ameitaka jamii kuenzi mambo mema aliyoacha huku msaidizi wake, Methodius Kilaini akisema vijana wengi wamepata mafanikio kutokana na udhubutu wake na ujasiri wa kusimamia anayoamini.
Mama wa marehemu Ruge Mutahaba (wa pili kushoto), akifuatiwa na mumewe wakiwa na aliyekuwa Makamu mkuu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam Prof. Rwekaza Mukandala, dakika chache kabla ya mwili wa mtoto wao marehemu Ruge Mutahaba Kuingizwa kaburini, kijijini Kiziru. Rip Ruge


Hivyo makala HATIMAYE RUGE MUTAHABA AZIKWA KIJIJINI KWAO KIZIRU,BUKOBA MKOANI KAGERA JIONI YA LEO

yaani makala yote HATIMAYE RUGE MUTAHABA AZIKWA KIJIJINI KWAO KIZIRU,BUKOBA MKOANI KAGERA JIONI YA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HATIMAYE RUGE MUTAHABA AZIKWA KIJIJINI KWAO KIZIRU,BUKOBA MKOANI KAGERA JIONI YA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/hatimaye-ruge-mutahaba-azikwa-kijijini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HATIMAYE RUGE MUTAHABA AZIKWA KIJIJINI KWAO KIZIRU,BUKOBA MKOANI KAGERA JIONI YA LEO"

Post a Comment

Loading...