Loading...

Taasisi ya Milele Foundation yakabidhi vitabu kwa ajili ya wanafunzi wa madarasa ya kuanzia kwa Wilaya nne za Pemba

Loading...
Taasisi ya Milele Foundation yakabidhi vitabu kwa ajili ya wanafunzi wa madarasa ya kuanzia kwa Wilaya nne za Pemba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Taasisi ya Milele Foundation yakabidhi vitabu kwa ajili ya wanafunzi wa madarasa ya kuanzia kwa Wilaya nne za Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Taasisi ya Milele Foundation yakabidhi vitabu kwa ajili ya wanafunzi wa madarasa ya kuanzia kwa Wilaya nne za Pemba
link : Taasisi ya Milele Foundation yakabidhi vitabu kwa ajili ya wanafunzi wa madarasa ya kuanzia kwa Wilaya nne za Pemba

soma pia


Taasisi ya Milele Foundation yakabidhi vitabu kwa ajili ya wanafunzi wa madarasa ya kuanzia kwa Wilaya nne za Pemba

 AFISA Elimu Wilaya ya Micheweni  Tarehe Khamis Hamad, akipanga baadhi ya Vitabu alivyo kabidhiwa kwa ajili ya wanafunzi wa SDT I,STD II,STDII na STD IV kwa skuli za Serikali Wilaya ya Micheweni, ambapo  vimetolewa na Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MTARIBU wa Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation Ofisi ya Pemba, Abdalla Sais Abdalla (Dula Diii), akizungumza katika hafla ya kukabidhi vitambu mbali mbali vya SDT I,STD II,STDII na STD IV, kwa  maafisa elimu Wilaya nne za Pemba, hafla iliyofanyika katika ofisi za Milele Mfikiwa Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MRATIBU wa Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation Ofisi ya Pemba Abdalla Said Abdalla, akimkabidhi vitabu afisa Uratibu shuhuli za Serikali kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ Juma Faki Mtumweni, kwa niaba ya afisa mdhamini wa Ofisi hiyo Pemba, ili kupatiwa maafisa elimu Wilaya nne za Pemba Vitabu hivyo kwa ajili ya skuli zao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya wafanyakazi wa taasisi ya Milele Zanzibar Foundation, wakipakia vitabu katika gari ya Micheweni yenye namba 608, huku afisa elimu Wilaya hiyo akishuhudia upakiaji huo,.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


Hivyo makala Taasisi ya Milele Foundation yakabidhi vitabu kwa ajili ya wanafunzi wa madarasa ya kuanzia kwa Wilaya nne za Pemba

yaani makala yote Taasisi ya Milele Foundation yakabidhi vitabu kwa ajili ya wanafunzi wa madarasa ya kuanzia kwa Wilaya nne za Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya Milele Foundation yakabidhi vitabu kwa ajili ya wanafunzi wa madarasa ya kuanzia kwa Wilaya nne za Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/taasisi-ya-milele-foundation-yakabidhi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Taasisi ya Milele Foundation yakabidhi vitabu kwa ajili ya wanafunzi wa madarasa ya kuanzia kwa Wilaya nne za Pemba"

Post a Comment

Loading...