Loading...
title : JKU Pemba ilivyoadhimisha miaka 42
link : JKU Pemba ilivyoadhimisha miaka 42
JKU Pemba ilivyoadhimisha miaka 42
WASHIRIKI wa mchezo wa ulaji wa tikiti kwa upande wa wanaume wakila tikiti huko katika Kambi ya Jku Msaani Pemba (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN,PEMBA)
MSHINDI wa zoezi la ulaji wa tiki kutoka Afisi kuu Jku Yussuf Dadi Juma, akionesha ganda la tikiti baada ya kumaliza na kuchukua nafasi ya kwanza kwa wanaume huko katika Kambi ya Jku Msaani ikiwa ni maadhimisho ya kuanzisha kwa jeshi hilo.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)
WASHIRIKI wa mchezo wa ulaji tikiti kwa wanawake wakiwa katika mchezo huo, ikiwa ni miongoni mwa sherehe za kutimia miaka 42 ya kuanzishwa kwa Jku huko katika Kambi ya Jku Msaani Pemba.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)
MSINDI wa shindano la ulaji wa tikiti kutoka Jku Msaani, Suria Abdalla akinyanyua ganda baada ya kumaliza kula tikiti,huko katika Kambi ya Jku Msaani PEMBA.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN. PEMBA)
Koplo Salma Talib kutoka Kambi ya Jku Msaani Pemba, akinyanyua kifuu juu kuashiria kumaliza kwa zoezi la ukunaji wa nazi, katika maadhimisho ya miaka 42 ya kuanzishwa kwa Jku, ambapo sherehe hizo zilifanyika katika Kambi ya Jku Msaani Pemba. (PICHA NA SAI ABDULRAHMAN. PEMBA)
Washiriki wa shindano la ukunaji Nazi wakiwa katika mchezo huo, ikiwa sherehe za kutimiza miaka 42 ya kuanzishwa Jku huko katika Kambi ya Jku Msaani Pemba.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN,PEMBA)
Hivyo makala JKU Pemba ilivyoadhimisha miaka 42
yaani makala yote JKU Pemba ilivyoadhimisha miaka 42 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JKU Pemba ilivyoadhimisha miaka 42 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/jku-pemba-ilivyoadhimisha-miaka-42.html
0 Response to "JKU Pemba ilivyoadhimisha miaka 42"
Post a Comment