Loading...

KIKOSI CHA TAIFA STARS CHAWEKWA HADHARANI

Loading...
KIKOSI CHA TAIFA STARS CHAWEKWA HADHARANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIKOSI CHA TAIFA STARS CHAWEKWA HADHARANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIKOSI CHA TAIFA STARS CHAWEKWA HADHARANI
link : KIKOSI CHA TAIFA STARS CHAWEKWA HADHARANI

soma pia


KIKOSI CHA TAIFA STARS CHAWEKWA HADHARANI


KOCHA mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” ametangaza kikosi cha wachezaji watakaocheza mchezo wa mwisho na muhimu dhidi ya Uganda wa kufuzu kucheza Fainali za Afrika mwaka huu.

Huu ni mchezo ambao kama Taifa Stars itashinda inaweza kukata tiketi ya kucheza AFCON mwaka huu itakayofanyika nchini Misri.

Mchezo dhidi ya Uganda utachezwa Jumapili Machi 24,2019 saa 12 jioni kwenye Uwanja wa Taifa.

Kocha Mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike ametangaza kikosi kitakachopambana kuisaka tiketi hiyo kwenye Uwanja wa nyumbani.

Nahodha Mbwana Samatta anayecheza KRC Genk ya Belgium ataongoza kikosi katika mchezo huo uliobeba imani ya Watanzania.

Kocha Amunike amesema Kikosi alichokitaja kimezingatia mambo mengi kuhakikisha Taifa Stars inapata ushindi.

Amewataka Watanzania kuiunga mkono Taifa Stars katika kuipeperusha bendera ya Tanzania.

Kwa upande wake, Afisa Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), George Mango amesema kampuni hiyo imekuwa ikihakikisha kikosi hicho kinafanya maandalizi mazuri ili kufanya vema kwenye mchezo ujao na hatimaye iweze kuibuka na ushindi na kukata tiketi kucheza Afcon.

“Siku zote kinywaji cha Serengeti Premium Lager ni shabiki mkuu wa Taifa Stars na mdhamini mkuu pia. Katika mchezo huu tumejidhatiti kuhakikisha timu yetu inaibuka na ushindi ambao utakuwa fahari kwa Taifa letu na kwa kinywaji chetu cha Serengeti,” alisema Mango.

Mango aliwataka mashabiki wa soka nchini kufika kwa wingi siku ya mchezo huo ili kuwapa hamasa wachezaji kwaajili ya kuipa ushindi timu hiyo ya Taifa.

Kikosi cha Taifa Stars kilichoitwa:

1.Aishi Manula -Simba 
2.Feisal Salum -Young Africans 
3.Hassan Kessy-Nkana,Zambia 
4.Yahya Zayd-Ismaily,Misri 
5.Gadiel Michael-Young Africans 
6.Himid Mao-Petrojet,Misri 
7.Mudathir Yahya-Azam FC 
8.Shaaban Chilunda-Tenerife,Hispania 
9.Kelvin Yondan-Young Africans 
10.Shiza Ramadhan-ENPPI,Misri 
11.Simon Msuva-El Jadida,Morocco 
12.Rashid Mandawa-BDF,Botswana 
13.Jonas Mkude-Simba 
14.Mbwana Samatta-KRC Genk,Belgium 
15.Thomas Ulimwengu-JS Saoura,Algeria 
16.Mechata Mnata-Mbao FC 
17.Aron Kalambo-Tz Prisons 
18.Suleiman Salula-Malindi FC,Zanzibar 
19.Vicent Phillipo-Mbao 
20.Ally Mtoni-Lipuli 
21.Andrew Vicent-Young Africans 
22.Kennedy Wilson-Singida United 
23.Aggrey Morris-Azam FC 
24.John Bocco-Simba 
25.Farid Mussa-Tenerife,Hispania


Hivyo makala KIKOSI CHA TAIFA STARS CHAWEKWA HADHARANI

yaani makala yote KIKOSI CHA TAIFA STARS CHAWEKWA HADHARANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIKOSI CHA TAIFA STARS CHAWEKWA HADHARANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/kikosi-cha-taifa-stars-chawekwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KIKOSI CHA TAIFA STARS CHAWEKWA HADHARANI"

Post a Comment

Loading...