Loading...
title : KUMEKUCHA Azam Sports Federation Cup (ASFC)
link : KUMEKUCHA Azam Sports Federation Cup (ASFC)
KUMEKUCHA Azam Sports Federation Cup (ASFC)
DROO ya Kombe Shirikisho Nchini Azam Sports Federation Cup (ASFC) imefanyika leo ambapo timu nane zilizotinga hatua ya nane bora zimetambua zitacheza na nani hatua ya robo fainali.
Timu hizo ambazo zilitinga hatua hiyo ni pamoja na Yanga, Alliance FC, African Lyon, Azam FC, Lipuli, KMC na Kagera Sugar.
Michuano hii inatarajiwa kuanza mapema mwezi Machi itakuwa namna hii:-
Yanga wataifuata Alliance ya Mwanza Uwanja wa CCM Kirumba, Kagera Sugar wataikaribisha Azam Uwanja wa Kaitaba.KMC wataikaribisha African Lyon Uwanja wa Uhuru. Lipuli wataikaribisha Singida United Uwanja wa Samora.
Baada ya michezo hiyo ya robo fainali timu mshindi katika mchezo wa Lipuli dhidi ya Singida atacheza na mshindi baina ya Alliance na Yanga kwenye nusu fainali.
Mchezo mwingine wa nusu fainali utakuw ani kati ya KMC na African Lyon mshindi wake atacheza na mshindi kati ua Kagera Sugar na Azam.
Tarehe ya michezo hiyo itatangazwa baade na shirikisho la mpira wa miguu nchini.
Hivyo makala KUMEKUCHA Azam Sports Federation Cup (ASFC)
yaani makala yote KUMEKUCHA Azam Sports Federation Cup (ASFC) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMEKUCHA Azam Sports Federation Cup (ASFC) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/kumekucha-azam-sports-federation-cup.html
0 Response to "KUMEKUCHA Azam Sports Federation Cup (ASFC)"
Post a Comment