Loading...
title : SERENGETI BOYS YAFANIKIWA KUINYUKA AUSTRALIA 3-2 MICHUANO YA UEFA ASSIST.
link : SERENGETI BOYS YAFANIKIWA KUINYUKA AUSTRALIA 3-2 MICHUANO YA UEFA ASSIST.
SERENGETI BOYS YAFANIKIWA KUINYUKA AUSTRALIA 3-2 MICHUANO YA UEFA ASSIST.
TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys kimefanikiwa kuibuka mshindi wa goli 3-2 dhidi ya Australia katika mchezo wa pili wa michuano ya Uefa Assist nchini Uturuki.
Michuano hiyo ilianza mwanzoni mwa wiki hii, huo unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Serengeti Boys baada ya mechi ya kwanza kupoteza dhidi ya Guinea kwa goli 2-1.
Serengeti Boys ilianza mechi hiyo kwa utaratibu na kuwapa nafasi Australia kuwashambulia na kupata goli la kuongoza kabla ya Edmund John katika dakika ya 16.
Bao hilo lilidumu hadi mapumziko na kipindi cha pili Australia walianza kupata bao la pili na baadaye Serengeti Boys walikuwa wakishambulia kama mbogo hadi walipofanikiwa kupata bao la pili katika dakika ya 81, mfungaji akiwa ni Alphonce John.
Baada ya bao hilo, Serengeti Boys waliongeza mashambulizi na kuonyesha kuwazidi nguvu Australia kabla ya kupata bao la tatu katika dakika ya 89 mfungaji akiwa ni Kelvin John.

Hivyo makala SERENGETI BOYS YAFANIKIWA KUINYUKA AUSTRALIA 3-2 MICHUANO YA UEFA ASSIST.
yaani makala yote SERENGETI BOYS YAFANIKIWA KUINYUKA AUSTRALIA 3-2 MICHUANO YA UEFA ASSIST. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERENGETI BOYS YAFANIKIWA KUINYUKA AUSTRALIA 3-2 MICHUANO YA UEFA ASSIST. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/serengeti-boys-yafanikiwa-kuinyuka.html
0 Response to "SERENGETI BOYS YAFANIKIWA KUINYUKA AUSTRALIA 3-2 MICHUANO YA UEFA ASSIST."
Post a Comment