Loading...

Maboresha makubwa NSSF

Loading...
Maboresha makubwa NSSF - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maboresha makubwa NSSF, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maboresha makubwa NSSF
link : Maboresha makubwa NSSF

soma pia


Maboresha makubwa NSSF

SHIRIKA la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limesema linaendelea kuboresha mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), kwa lengo la kuwahudumia wanachama na wadau wao.

Katika maboresho hayo ambayo yamejikita katika mfumo wa kushughulikia malalamiko, maulizo na maoni ya wanachama wake na wadau wengine wa Shirika.

Meneja Kiongozi Uhusiano na Elimu kwa Umma, Lulu Mengele, alisema jana, Dar es Salaam, Shirika linawajali wanachama na wadau kwa ujumla katika mawasiliano ambapo mwanachama atapiga namba ya bure 0800756773 kuanzia saa 2.30 asubuhi, hadi 10.30 jioni, Jumatatu mpaka Ijumaa.

“Mwanachama na wadau wetu watapiga namba hiyo bure kabisa kuwasilisha matatizo yao” alisema Lulu.

Alisema kwa kuboresha zaidi utoaji huduma, mwanachama anaweza kuwasilisha malalamiko, maulizo au maoni yake kupitia barua pepe complaints@nsssf.or.tz, 

Alisema Shirika linapenda kuwahakikishia wanachama na wadau kwamba litaendelea kuboresha mifumo yake ya utendaji na utoaji huduma kwa wanachama na wadau wake ili kuboresha na kurahisisha huduma kwa wateja.



Hivyo makala Maboresha makubwa NSSF

yaani makala yote Maboresha makubwa NSSF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maboresha makubwa NSSF mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/maboresha-makubwa-nssf.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Maboresha makubwa NSSF"

Post a Comment

Loading...