Loading...

Wanachama NSSF wakumbushwa haki yao ya kupata huduma

Loading...
Wanachama NSSF wakumbushwa haki yao ya kupata huduma - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wanachama NSSF wakumbushwa haki yao ya kupata huduma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wanachama NSSF wakumbushwa haki yao ya kupata huduma
link : Wanachama NSSF wakumbushwa haki yao ya kupata huduma

soma pia


Wanachama NSSF wakumbushwa haki yao ya kupata huduma

WANACHAMA na wadau wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakumbushwa kupiga simu bure ili kupata huduma kwa wakati, mwanachama anaweza akawasilisha malalamiko, maulizo na maoni.

Shirika limesema mwanachama atapiga namba ya bure 0800756773 kuanzia saa 2.30 asubuhi hadi saa 10.30 jioni, Jumatatu hadi Ijumaa.

“Shirika linaendelea kuwajali,  wanachama na wadau wake, hivyo kama mwanachama akipiga namba hiyo hatopata gharama zozote za kupiga simu.” 

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Dar es Salaam, Meneja Kiongozi Uhusiano na Elimu kwa Umma, Lulu Mengele, alisema kwa Upande wa NSSF  mwanachama kwanza.Tumekuja na utamaduni wa kumjali mwanachama, NSSF ipo kwa sababu ya wanachama hivyo kupata huduma ni haki yake, mwanachama anaweza akawasilisha malalamiko yake, maswali, maoni na kupata taarifa zake za michango.Pamoja na huduma ya simu mwanachama anaweza akawasiliana na Shirika kupitia barua pepe complaints@nssf.or.tz

Lulu alisema Shirika linapenda kuwahakikishia wanachama na wadau kwamba litaendelea kuboresha mifumo yake ya utendaji kazi na utoaji huduma kwa wanachama ili kuboresha na kurahisisha huduma kwa wateja.
Sehemu ya kitengo cha huduma kwa wateja


Hivyo makala Wanachama NSSF wakumbushwa haki yao ya kupata huduma

yaani makala yote Wanachama NSSF wakumbushwa haki yao ya kupata huduma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wanachama NSSF wakumbushwa haki yao ya kupata huduma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/wanachama-nssf-wakumbushwa-haki-yao-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wanachama NSSF wakumbushwa haki yao ya kupata huduma"

Post a Comment

Loading...