Loading...
title : MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA KISHAPU
link : MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA KISHAPU
MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA KISHAPU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia wananchi waliokuja kumlaki wakati akiwasili kwenye mgodi wa Almasi Mwadui mkoani Shinyanga. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Meneja wa Huduma za Kiufundi wa Mgodi wa Williamson Diamond Richard Jumanne akimuonyesha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan eneo ambalo uchimbaji wa almasi unafanyika katika mgodi huo uliopo Mwadui, Shinyanga. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi wa ujenzi wa maabara ya shule ya Sekondari Shinyanga. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia wanafunzi waliokuja kumlaki wakati akiwasili kwenye mgodi wa Almasi Mwadui mkoani Shinyanga. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Shinyanga wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye yup kwenye ziara ya kikazi mkoani humo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiangalia shughuli ya uchambuaji wa almasi klatika mgodi wa Wiliamson Diamond Ltd, wengine pichani ni Naibu Waziri Madini Mhe. Stanslaus Nyongo (kushoto) na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelline Mabula pamoja na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mwita Waitara (kulia). Makamu wa Rais yupo mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Sehemu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa Makamu wa Rais Mhunze, Kishapu mkoani Shinyanga. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA KISHAPU
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA KISHAPU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA KISHAPU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/makamu-wa-rais-afanya-ziara-kishapu.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA KISHAPU"
Post a Comment