Loading...

MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI UGANDA TAYARI KWA KUSHIRIKI MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019

Loading...
MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI UGANDA TAYARI KWA KUSHIRIKI MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI UGANDA TAYARI KWA KUSHIRIKI MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI UGANDA TAYARI KWA KUSHIRIKI MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019
link : MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI UGANDA TAYARI KWA KUSHIRIKI MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019

soma pia


MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI UGANDA TAYARI KWA KUSHIRIKI MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda Mhe. Dkt. Aziz P. Mlima mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebe nchini Uganda.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Mhe. Philemon Mateke mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebe tayari kwa kushiriki mkutano wa Africa Now Summit 2019 utakaofanyika mjini Kampala tarehe 12 na 13 mwezi Machi, 2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea katika chumba maalum cha VIP alipowasili Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Entebe tayari kwa kushiriki mkutano wa Africa Now Summit 2019 utakaofanyika mjini Kampala tarehe 12 na 13 mwezi Machi, 2019.
 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI UGANDA TAYARI KWA KUSHIRIKI MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI UGANDA TAYARI KWA KUSHIRIKI MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI UGANDA TAYARI KWA KUSHIRIKI MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/makamu-wa-rais-awasili-nchini-uganda_11.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI UGANDA TAYARI KWA KUSHIRIKI MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019"

Post a Comment

Loading...