Loading...
title : Vikundi vya Wanaushirika 13 Wilaya ya Mkoani Pemba Wakabidhiwa Fedha.
link : Vikundi vya Wanaushirika 13 Wilaya ya Mkoani Pemba Wakabidhiwa Fedha.
Vikundi vya Wanaushirika 13 Wilaya ya Mkoani Pemba Wakabidhiwa Fedha.
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mkoani Ali Juma Nassor akimkabidhi mmoja wa wanavikundi vya Tasaf shehia ya Kangani shilingi Laki Moja (100,000/=), ikiwa ni ahadi ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdalla Juma Mabodi, kwa wanavikundi vya Tasaf shehia hiyo.
MRATIBU wa TASAF Pemba Mussa Said akizungumza na wanavikundi vya ushirika vya Kaya Masikini shehia ya Kangani Wilaya ya Mkoani, mara baada ya kukabidhiwa msaada wa shilingi Milioni 1.3 kwa vikundi 13 vya kaya masikini, ikiwa ni ahadi ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdalla Juma Mabodi kwa Vikundi hivyo.
KATIBU Msaidizi afisa Kitengo CCM Pemba Zulfa Abdalla Said, akizungumza na akinamama wa Vikundi 13 vya Kaya masikini shehia ya Kangani Wilaya ya Mkoani, wakati wakutekeleza ahadi ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdalla Juma Mabodi.
(Picha na Hanifa Salum - Pemba)
Hivyo makala Vikundi vya Wanaushirika 13 Wilaya ya Mkoani Pemba Wakabidhiwa Fedha.
yaani makala yote Vikundi vya Wanaushirika 13 Wilaya ya Mkoani Pemba Wakabidhiwa Fedha. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Vikundi vya Wanaushirika 13 Wilaya ya Mkoani Pemba Wakabidhiwa Fedha. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/vikundi-vya-wanaushirika-13-wilaya-ya.html
0 Response to "Vikundi vya Wanaushirika 13 Wilaya ya Mkoani Pemba Wakabidhiwa Fedha."
Post a Comment