Loading...
title : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Princess Sarah Zeid.
link : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Princess Sarah Zeid.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Princess Sarah Zeid.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Binti wa Mfalme wa Jordan Sarah Zeid (katikati) pamoja na Mwakilishi Mkazi wa WFP Bw. Michael Dunford (kushoto) ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa maelezo ya viungo vya chai vya Zanzibar wakati wa kumkabidhi zawadi Binti wa Mfalme wa Jordan Sarah Zeid (kushoto) ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Princess Sarah Zeid.
yaani makala yote Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Princess Sarah Zeid. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Princess Sarah Zeid. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/makamu-wa-rais-wa-jamuhuri-ya-muungano_62.html
0 Response to "Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Princess Sarah Zeid."
Post a Comment