Loading...

MBUNGE RAZA AZINDUA KIKUNDI CHA KINAMAMA WA UWT JIMBO LA KIEMBESAMAKI CHA GREEN ROSE

Loading...
MBUNGE RAZA AZINDUA KIKUNDI CHA KINAMAMA WA UWT JIMBO LA KIEMBESAMAKI CHA GREEN ROSE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE RAZA AZINDUA KIKUNDI CHA KINAMAMA WA UWT JIMBO LA KIEMBESAMAKI CHA GREEN ROSE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE RAZA AZINDUA KIKUNDI CHA KINAMAMA WA UWT JIMBO LA KIEMBESAMAKI CHA GREEN ROSE
link : MBUNGE RAZA AZINDUA KIKUNDI CHA KINAMAMA WA UWT JIMBO LA KIEMBESAMAKI CHA GREEN ROSE

soma pia


MBUNGE RAZA AZINDUA KIKUNDI CHA KINAMAMA WA UWT JIMBO LA KIEMBESAMAKI CHA GREEN ROSE

Mbunge wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe. Ibrahim Raza akizungumza na Kinamama wa Kikundi cha Green Rose mara baada ya kukizindua kikundi hicho kinachojishuhulisha na utengenezaji wa Mabatiki na Sabuni za aina mbalimbali katika hafla iliyofanyika Tawi la CCM kwa Mchina.
Mjumbe wa NEC Amini Salmin Amour akitoa nasaha zake kwa kinamama wa kikundi cha Green Rose kiliopo Jimbo la Kiembesamaki katika hafla ya uzinduzi wa kikundi hicho uliofanyika Tawi la CCM Mchina Mjini Unguja.
Wakinamama wa Kikundi cha Green Rose (UWT) Jimbo la Kiembesamaki wakimsikiliza Mbunge wao (hayupo pichani) Ibrahi Raza alipokuwa akizungumza nao
Mbunge wa Jimbo la Kiembesamaki Ibrahim Raza (katikati) akiwa na wanakikundi cha Green Rose katika picha ya pamoja. Kushoto ya Mjumbe wa NEC Amini Salmin Amour.Picha na Makame Mshenga.


Hivyo makala MBUNGE RAZA AZINDUA KIKUNDI CHA KINAMAMA WA UWT JIMBO LA KIEMBESAMAKI CHA GREEN ROSE

yaani makala yote MBUNGE RAZA AZINDUA KIKUNDI CHA KINAMAMA WA UWT JIMBO LA KIEMBESAMAKI CHA GREEN ROSE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE RAZA AZINDUA KIKUNDI CHA KINAMAMA WA UWT JIMBO LA KIEMBESAMAKI CHA GREEN ROSE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mbunge-raza-azindua-kikundi-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE RAZA AZINDUA KIKUNDI CHA KINAMAMA WA UWT JIMBO LA KIEMBESAMAKI CHA GREEN ROSE"

Post a Comment

Loading...