Loading...

Mbunge wa jimbo la Kiembesamaki atoa misaada kwwa UVCCM wilaya ya Dimani kichama

Loading...
Mbunge wa jimbo la Kiembesamaki atoa misaada kwwa UVCCM wilaya ya Dimani kichama - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mbunge wa jimbo la Kiembesamaki atoa misaada kwwa UVCCM wilaya ya Dimani kichama, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mbunge wa jimbo la Kiembesamaki atoa misaada kwwa UVCCM wilaya ya Dimani kichama
link : Mbunge wa jimbo la Kiembesamaki atoa misaada kwwa UVCCM wilaya ya Dimani kichama

soma pia


Mbunge wa jimbo la Kiembesamaki atoa misaada kwwa UVCCM wilaya ya Dimani kichama

 Mbunge wa Jimbo la Kiembesamaki Ibrahim Razza akivishwa skafu na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Dimani Kichama, Nd.Hassan Mohammed (kulia) na Nd. Hamadi Ali walipotembelewa katika Tawi la CCM Kiembesamaki kwaajili ya kupatiwa misada  mbalimbali (Picha na Abdalla Omar).
  Katibu wa UVCCM Wilaya ya Dimani Kichama Ramadhan Abas Mcheju, akizungumza na kumuelezea changamoto zinazowakabili Vijana hao  (Picha na Abdalla Omar).
 Mbunge wa Jimbo la Kiembesamaki Ibrahim Razza akizungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Dimani Kichama, (hawapo pichani) alipofanya ziara ya kuwapatia misaada mbalimbali katika ghafla iliofanyika Tawi la CCM Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B Unguja (Picha na Abdalla Omar).
 Vijana wa UVCCM Wilaya ya Dimani Kichama,wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Kiembesamaki Ibrahim Razza (hayupo pichani) alipofanya ziara ya kuwatembelea katika Tawi la CCM Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B Unguja (Picha na Abdalla Omar).
 Mbunge wa Jimbo la Kiembesamaki Ibrahim akikabidhi msaada wa Kompyuta yenye thamani ya Tanzania Shiling 2,000,000/= kwa Katibu wa UVCCM  Wilaya ya Dimani Kichama, Nd. Ramadhan Abas Mcheju katika ghafla iliofanyika Tawi la CCM Kiembesamaki (Picha na Abdalla Omar).
Mjumbe wa NEC Chama cha Mapinduzi Amina (Mama Afrika) akimkabidhi Fedha Tanzania Shiling Laki 500,000/= Katibu wa UVCCM Jimbo la Kiembesamaki Zainab Idrissa Shani katika ghafla iliofanyika Tawi la CCM Kiembesamaki (Picha na Abdalla Omar).


Hivyo makala Mbunge wa jimbo la Kiembesamaki atoa misaada kwwa UVCCM wilaya ya Dimani kichama

yaani makala yote Mbunge wa jimbo la Kiembesamaki atoa misaada kwwa UVCCM wilaya ya Dimani kichama Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mbunge wa jimbo la Kiembesamaki atoa misaada kwwa UVCCM wilaya ya Dimani kichama mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mbunge-wa-jimbo-la-kiembesamaki-atoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mbunge wa jimbo la Kiembesamaki atoa misaada kwwa UVCCM wilaya ya Dimani kichama"

Post a Comment

Loading...