Loading...

. Mbunge wa Jimbo la Magomeni akabidhi Basi Jimboni

Loading...
. Mbunge wa Jimbo la Magomeni akabidhi Basi Jimboni - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa . Mbunge wa Jimbo la Magomeni akabidhi Basi Jimboni, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : . Mbunge wa Jimbo la Magomeni akabidhi Basi Jimboni
link : . Mbunge wa Jimbo la Magomeni akabidhi Basi Jimboni

soma pia


. Mbunge wa Jimbo la Magomeni akabidhi Basi Jimboni


 Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Abdalla Juma Mabodi akizungumza na Wanachama  wa Chama hicho pamoja na Viongozi  kuhusu maendeleo waliyoyafanya katika Jimbo lao la Magomeni  huko Uwanja wa Mzalendo ndani ya Jimbo hilo katika Uzinduzi wa Gari aina ya Basi ya Jimbo.

 Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Abdalla Juma Mabodi akipokea Funguo na Kadi ya Gari aina ya Basi kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Magomeni Jamal Kassim huko Uwanja wa Mzalendo katika Jimbo hilo .

 Jamal Kassim akielezea juu ya hatuwa walizofikia katika kuleta Maendeleo ya  Jimbo  huko Uwanja wa Mzalendo katika Uzinduzi wa Gari aina ya Basi ya Jimbo.
 Muwakilishi wa Jimbo la Magomeni Rashid Kigoma akielezea machache kuhusu utekelezaji  wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi huko Uwanja wa Mzalendo  Jimboni kwake katika Uzinduzi wa Gari aina ya Basi ya Jimbo hilo.
 Gari aina ya Basi iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Magomeni Jamali Kassim hayupo pichani, yenye thamani ya Shiling Milioni ishirini na tisa na laki tano.
 Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliohudhuria katika Uzinduzi wa Gari aina ya Basi ya Jimbo la Magomeni wakifatilia kwa makini shuhuli hiyo wakiwa katika Uwanja wa Mzalendo Jimboni hapo.

Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliohudhuria katika Uzinduzi wa Gari aina ya Basi ya Jimbo la Magomeni wakifatilia kwa makini shuhuli hiyo wakiwa katika Uwanja wa Mzalendo Jimboni hapo.
Picha na Maryam Kidiko.


Hivyo makala . Mbunge wa Jimbo la Magomeni akabidhi Basi Jimboni

yaani makala yote . Mbunge wa Jimbo la Magomeni akabidhi Basi Jimboni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala . Mbunge wa Jimbo la Magomeni akabidhi Basi Jimboni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mbunge-wa-jimbo-la-magomeni-akabidhi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to ". Mbunge wa Jimbo la Magomeni akabidhi Basi Jimboni"

Post a Comment

Loading...