Loading...

MEYA UBUNGO AGAWA VYEREHANI 10 KWA AKINA MAMA WAJASIRIAMALI,AWAASA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Loading...
MEYA UBUNGO AGAWA VYEREHANI 10 KWA AKINA MAMA WAJASIRIAMALI,AWAASA KUJIKWAMUA KIUCHUMI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MEYA UBUNGO AGAWA VYEREHANI 10 KWA AKINA MAMA WAJASIRIAMALI,AWAASA KUJIKWAMUA KIUCHUMI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MEYA UBUNGO AGAWA VYEREHANI 10 KWA AKINA MAMA WAJASIRIAMALI,AWAASA KUJIKWAMUA KIUCHUMI
link : MEYA UBUNGO AGAWA VYEREHANI 10 KWA AKINA MAMA WAJASIRIAMALI,AWAASA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

soma pia


MEYA UBUNGO AGAWA VYEREHANI 10 KWA AKINA MAMA WAJASIRIAMALI,AWAASA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Mstahiki Meya Manispaa ya Ubungo Mh,Boniface Jacob leo amegawa vyerehani kumi (10), Vya kisasa Vinavyogharimu kiasi cha Tsh Millioni 20 Kwa Vikundi viwili (2) Vya Wanawake Manispaa ya Ubungo ambavyo ni MASHUJAA WOMEN GROUP na VICTORIA FOUNDATION GROUP

Katika Hafla hiyo ya ugawaji wa Misaada hiyo ya vyerehani kumi (10),lengo kubwa ikiwa ni Kuwawezesha Wanawake kujikwamua kiuchumi, na kuwapatia Mafunzo ya ushonaji na Ujasiriamali 

Mstahiki Meya ameshirikiana na Kiwanda Cha Ushonaji cha SPESHOZ TANZANIA ambapo Mkurugenzi wake Bw,Jeffrey Jessey amesema Kampuni Yake Itaunga mkono Juhudi za Mstahiki Meya za Kuwawezesha Wanamke kujikwamua Kiuchumi kwa Kutoa Mafunzo ya Miezi mitatu(3) kwa wanawake 48 wa Vikundi vyote viwili Vya wakina Mama Waliopokea Misaada hiyo Kwa awamu hii ya Kwanza.

Aidha Mkurugenzi mwenza wa SPESHOZ TANZANIA Bi Cecilia Mosha, ameahidi kuendelea kutoa Ushirikiano Kwa Mstahiki Meya katika awamu zingine zitakazo fuatia Katika Programu ya Ugawaji Vyerehani kwa ajili ya Kumsaidia Mwanamke Kujikwamua Kiuchumi, Pamoja na kutoa wito kwa Wanawake wengine kuitikia fursa ya Mstahiki Meya na kufanyia kazi kwa Vitendo kauli ya Rais Magufuli ya Tanzania ya Viwanda

Mstahiki Meya ametoa wito kwa wakina Mama wengine ndani ya Manispaa ya Ubungo kuendelea kuandika barua za Maombi na Maandiko ya Mchanganuo ya Miradi ya Ushaonaji ,Kwa ajili ya kupatiwa Misaada Awamu zingine zinazofuata.
Mstahiki Meya Manispaa ya Ubungo Mh,Boniface Jacob (katikati) akiwakabidhi vyerehani kumi vikundi viwili vya wajasiriamali wanawake vyenye thamani ya Millioni 20 leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Maasaka,MMG)
Mstahiki Meya Manispaa ya Ubungo Mh,Boniface Jacob (katikati) akizungumza leo jijini Dar es Saam katika hafla ya ugawaji ya vyerehani kumi vyenye thamani ya Millioni 20 kwa lengo la kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.


Hivyo makala MEYA UBUNGO AGAWA VYEREHANI 10 KWA AKINA MAMA WAJASIRIAMALI,AWAASA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

yaani makala yote MEYA UBUNGO AGAWA VYEREHANI 10 KWA AKINA MAMA WAJASIRIAMALI,AWAASA KUJIKWAMUA KIUCHUMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MEYA UBUNGO AGAWA VYEREHANI 10 KWA AKINA MAMA WAJASIRIAMALI,AWAASA KUJIKWAMUA KIUCHUMI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/meya-ubungo-agawa-vyerehani-10-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MEYA UBUNGO AGAWA VYEREHANI 10 KWA AKINA MAMA WAJASIRIAMALI,AWAASA KUJIKWAMUA KIUCHUMI"

Post a Comment

Loading...