Loading...

MGUNDUZI WA VIDONDA VYA TUMBO HUYU HAPA, ALIMEZA BAKTERIA KUWEZA KUTAFUTA DAWA

Loading...
MGUNDUZI WA VIDONDA VYA TUMBO HUYU HAPA, ALIMEZA BAKTERIA KUWEZA KUTAFUTA DAWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MGUNDUZI WA VIDONDA VYA TUMBO HUYU HAPA, ALIMEZA BAKTERIA KUWEZA KUTAFUTA DAWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MGUNDUZI WA VIDONDA VYA TUMBO HUYU HAPA, ALIMEZA BAKTERIA KUWEZA KUTAFUTA DAWA
link : MGUNDUZI WA VIDONDA VYA TUMBO HUYU HAPA, ALIMEZA BAKTERIA KUWEZA KUTAFUTA DAWA

soma pia


MGUNDUZI WA VIDONDA VYA TUMBO HUYU HAPA, ALIMEZA BAKTERIA KUWEZA KUTAFUTA DAWA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya Jamii

DAKTARI Barry Marshall  ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya Nobel aliyoipata kutokana na kugundua chanzo cha vidonda vya tumbo kwa kufanya majaribio katika mwili wake.

Wataalamu wengi wa Afya miaka ya nyuma waliamini kuwa bacteria hawezi kuishi ndani ya tumbo la mwanadamu kutokana na joto pia tindikali na asidi iliyopo humo. Hivyo basi iliaminika kuwa ugonjwa wa vidonda vya tumbo unatokana na mawazo au kutokula kwa muda mrefu.

Dkt. Barry akiwa na miaka 32 aligundua kuwa vidonda vya tumbo husambazwa na bacteria anayeitwa Helicobacter pylori na alipojaribu kuwashirikisha wataalamu wengine alipingwa  na hakuna aliyeamini kuwa bacteria huyo anaweza kuishi katika tumbo la binadamu kutokana na mazingira ya tindikali.

Barry Hakukata tamaa aliendelea na majaribio ili kuweza kugundua dawa ya kutibu kabisa vidonda vya tumbo na alipokwama ni jinsi ya kufanya majaribio, kwani taratibu hazikumruhusu kujaribu nadharia zake za bacteria anayepelekea vidonda vya tumbo. 

Daktari huyo  alifanya maamuzi magumu ya kuwameza vimelea hao wajulikanao kama Helicobacter pylori, chini ya uangalizi wa rafiki yake aitwaye Robin Warren na
baada ya wiki kadhaa alikuwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Hii iliwahadaha walimwengu wa wataalamu wa afya, na alipojaribu kutumia dawa alizoziandaa mwanzo hazikufanya kazi. Akiwa mgonjwa sana hatimaye aligundua antibayotiki inayotibu vidonda vya tumbo. 

Ilipofika mwaka 2007 alitunukiwa tuzo ya ya Nobel kwa ujasiri huo uliohatarisha maisha yake.



Hivyo makala MGUNDUZI WA VIDONDA VYA TUMBO HUYU HAPA, ALIMEZA BAKTERIA KUWEZA KUTAFUTA DAWA

yaani makala yote MGUNDUZI WA VIDONDA VYA TUMBO HUYU HAPA, ALIMEZA BAKTERIA KUWEZA KUTAFUTA DAWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MGUNDUZI WA VIDONDA VYA TUMBO HUYU HAPA, ALIMEZA BAKTERIA KUWEZA KUTAFUTA DAWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mgunduzi-wa-vidonda-vya-tumbo-huyu-hapa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MGUNDUZI WA VIDONDA VYA TUMBO HUYU HAPA, ALIMEZA BAKTERIA KUWEZA KUTAFUTA DAWA"

Post a Comment

Loading...