Loading...

MJUMBE WA MCHEKESHAJI DULLYZO WA ZANZIBAR KWA VIJANA WANAOTAKA KUFANIKIWA HARAKA

Loading...
MJUMBE WA MCHEKESHAJI DULLYZO WA ZANZIBAR KWA VIJANA WANAOTAKA KUFANIKIWA HARAKA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MJUMBE WA MCHEKESHAJI DULLYZO WA ZANZIBAR KWA VIJANA WANAOTAKA KUFANIKIWA HARAKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MJUMBE WA MCHEKESHAJI DULLYZO WA ZANZIBAR KWA VIJANA WANAOTAKA KUFANIKIWA HARAKA
link : MJUMBE WA MCHEKESHAJI DULLYZO WA ZANZIBAR KWA VIJANA WANAOTAKA KUFANIKIWA HARAKA

soma pia


MJUMBE WA MCHEKESHAJI DULLYZO WA ZANZIBAR KWA VIJANA WANAOTAKA KUFANIKIWA HARAKA


Na Khadija Seif, Globu ya jamii

MCHEKESHAJI chipukizi visiwani  Zanzibar, Abdulnadhif Shaka Hassan ‘Dullyzo’, ametoa ujumbe kwa vijana ambao wanataka mafanikio ya haraka.

Akizungumza leo Dullyzo amesema umaarufu na mafanikio alioyapata hayakuja kimiujiza kwani aliamini ndoto zake pamoja na kujishugulisha na kazi mbalimbali za kijamii.

"Kabla sijawa mchekeshaji nilikua nacheza ngoma na ndio kilikuwa kipaji changu ambacho kilikua kinaniingiza fedha za kujikimu kiuchumi na kuendesha familia," amesema

Hata hivyo ameeleza nini kilimvutia na kuingia kwenye tasnia ya vicheko huku akimtaja Dullivan kama mtu anayefata nyayo zake katika kazi.

“Wakati naanza kumuiga Dullvani, nilitamani siku nikutane naye ili anifundishe baadhi ya njia anazotumia na nashukuru Mungu tumeweza kuonana katika tamasha lililofanyika siku chache zilizopita lililoandaliwa na Zanzibarglamr la mavazi na vipodozi visiwani Zanzibar," amesema Dullyzo

 Amewaasa vijana wa visiwani humo kuchakarika na kujihusisha na kazi yoyote ile ya hali ili kujikwamua kiuchumi na kujiepusha na vitendo viovu vinavyoiathiri jamii kiujumla kama ubakaji,uporaji na uhalifu.



Hivyo makala MJUMBE WA MCHEKESHAJI DULLYZO WA ZANZIBAR KWA VIJANA WANAOTAKA KUFANIKIWA HARAKA

yaani makala yote MJUMBE WA MCHEKESHAJI DULLYZO WA ZANZIBAR KWA VIJANA WANAOTAKA KUFANIKIWA HARAKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MJUMBE WA MCHEKESHAJI DULLYZO WA ZANZIBAR KWA VIJANA WANAOTAKA KUFANIKIWA HARAKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mjumbe-wa-mchekeshaji-dullyzo-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MJUMBE WA MCHEKESHAJI DULLYZO WA ZANZIBAR KWA VIJANA WANAOTAKA KUFANIKIWA HARAKA"

Post a Comment

Loading...