Loading...

MTAMBO WA KUCHAKATA ASALI WAFUNGWA WILAYANI MANYONI

Loading...
MTAMBO WA KUCHAKATA ASALI WAFUNGWA WILAYANI MANYONI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTAMBO WA KUCHAKATA ASALI WAFUNGWA WILAYANI MANYONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTAMBO WA KUCHAKATA ASALI WAFUNGWA WILAYANI MANYONI
link : MTAMBO WA KUCHAKATA ASALI WAFUNGWA WILAYANI MANYONI

soma pia


MTAMBO WA KUCHAKATA ASALI WAFUNGWA WILAYANI MANYONI

Ripota wetu,Globu ya jamii

WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS) umefunga mtambo wa kuchakata asali wilayani Manyoni mkoani Singida.

Akizungumza leo Machi 14,2019 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano TFS Tulizo Kilaga amesema mtambo huo wa kisasa una uwezo wa kuchakata lita 500 kwa siku.

Amesema kuwa mtambo huo umegharimu Sh.milioni 80 na unatarajiwa kuondoa changamoto ya uwepo wa asali yenye kiwango duni cha ubora katika ukanda huo na maeneo maeneo ya jirani.

"Mtambo huu umefungwa katika kiwanda cha TFS na utatumiwa na wafugaji wa nyuki wa ndani pamoja na nje wote wataruhusiwa kuchakata mazao yao,"amesema Kilaga.

Ameongeza kuwa kiwanda hiko kwa kiasi kikubwa kitategemea mali ghafi toka kwenye msitu wa Aghondi uliopo eneo la Itigi na uwepo  wa mtambo huo pia utasaidia kutunza mazingira kwani watakuwa na uhakika wa soko la asali yao.

Pia amesema katika uvunaji wa awali wamefanikiwa kuvuna mizinga 459 kati ya 729 na kupata asali kilo 6,175 sawa na tani 6.175 wastani kilo 13.45 kwa mzinga.

Akizungumzia mtambo huo, Meneja wa TFS wilayani Manyoni Juma Mambo amesema utasaidia kupatikana kwa asali bora na hivyo kuwa na uhakika wa soko la ndani na nje ambalo litawafanya wadau kujiongezea kipato.
 Mtambo wa.kuchakata asali ambao umefungwa katika Kiwanda cha TFS kilichopo wilayani Manyoni mkoani Singida
 Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS)Profesa Dos Sontos Silayo na Kulia ni Meneja wa Wilaya ya Manyoni TFS Juma Mchafu.


Hivyo makala MTAMBO WA KUCHAKATA ASALI WAFUNGWA WILAYANI MANYONI

yaani makala yote MTAMBO WA KUCHAKATA ASALI WAFUNGWA WILAYANI MANYONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTAMBO WA KUCHAKATA ASALI WAFUNGWA WILAYANI MANYONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mtambo-wa-kuchakata-asali-wafungwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MTAMBO WA KUCHAKATA ASALI WAFUNGWA WILAYANI MANYONI"

Post a Comment

Loading...