Loading...
title : SINGIDA UTD YACHUANA VIKALI NA AFC LEOPARDS KWENYE UWANJA WA UHURU MCHANA HUU
link : SINGIDA UTD YACHUANA VIKALI NA AFC LEOPARDS KWENYE UWANJA WA UHURU MCHANA HUU
SINGIDA UTD YACHUANA VIKALI NA AFC LEOPARDS KWENYE UWANJA WA UHURU MCHANA HUU
MwambawahabariMshambuliaji wa Singida Utd, Nhivi Simbarashe (kushoto) akichuana kuwania mpira na mchezaji wa AFC Leopards, Joshua Mawira, wakati wa mchezo wa fungua dimba mashindano ya SportPesa Super Cup, yaliyoanza leo kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani
Mshambuliaji wa Singida Utd, Nhivi Simbarashe (wa pili kulia) akichuana kuwania mpira na mchezaji wa AFC Leopards, Joshua Mawira, (kulia) wakati wa mchezo wa fungua dimba mashindano ya SportPesa Super Cup, yaliyoanza leo kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Wa pili (kushoto) ni Marcus Abwao. Picha na Muhidin Sufiani

Wachezaji wa AFC Leopards, wapigwa na butwaa baada ya kufungwa bao katika dakika ya 10 kipindi cha kwanza.
Mchezaji wa Singida United, Mtasa Wisdom, akiruka kuokoa katikati ya wachezaji wa AFC Leopards.
Hatari langoni mwa AFC Leopards
Baadhi ya mashabiki na wachezaji wa timu ya Yanga wakiangalia mchezo huo.
Hivyo makala SINGIDA UTD YACHUANA VIKALI NA AFC LEOPARDS KWENYE UWANJA WA UHURU MCHANA HUU
yaani makala yote SINGIDA UTD YACHUANA VIKALI NA AFC LEOPARDS KWENYE UWANJA WA UHURU MCHANA HUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SINGIDA UTD YACHUANA VIKALI NA AFC LEOPARDS KWENYE UWANJA WA UHURU MCHANA HUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/singida-utd-yachuana-vikali-na-afc.html
0 Response to "SINGIDA UTD YACHUANA VIKALI NA AFC LEOPARDS KWENYE UWANJA WA UHURU MCHANA HUU"
Post a Comment