Loading...
title : NEWZ ALERT: MEYA WA ILALA KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA ATANGAZA KUJIUZULU NAFASI HIYO.
link : NEWZ ALERT: MEYA WA ILALA KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA ATANGAZA KUJIUZULU NAFASI HIYO.
NEWZ ALERT: MEYA WA ILALA KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA ATANGAZA KUJIUZULU NAFASI HIYO.
Meya wa Ilala kupitia chama cha CHADEMA Charles Kuyeko ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kumuunga mkono Rais Dkt John Pombe Magufuli. '' Rais Magufuli ni mtu wa kuigwa, anastahili sifa na kazi ya kutukuka, nawaheshimu Viongozi wa CHADEMA kwa kunipa nafasi, nawashukuru na nitaendelea kuwaheshimu lakini mapenzi yangu ya dhati ni CCM ''.
Hivyo makala NEWZ ALERT: MEYA WA ILALA KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA ATANGAZA KUJIUZULU NAFASI HIYO.
yaani makala yote NEWZ ALERT: MEYA WA ILALA KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA ATANGAZA KUJIUZULU NAFASI HIYO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT: MEYA WA ILALA KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA ATANGAZA KUJIUZULU NAFASI HIYO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/newz-alert-meya-wa-ilala-kupitia-chama.html
0 Response to "NEWZ ALERT: MEYA WA ILALA KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA ATANGAZA KUJIUZULU NAFASI HIYO."
Post a Comment