Loading...
title : NECTA Kuvifuta Vituo vya Mitihani Vitakavyofanya Udanganyifu Mwaka huu
link : NECTA Kuvifuta Vituo vya Mitihani Vitakavyofanya Udanganyifu Mwaka huu
NECTA Kuvifuta Vituo vya Mitihani Vitakavyofanya Udanganyifu Mwaka huu
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde.
Na Edwin Lindege
Hayo yamesemwa leo na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde wakati akizungumza na wanahabari Makao Makuu ya NECTA, Mikocheni jijini Dar es Salaam.
“Baraza linawataka wamiliki wa shule zote kutambua kuwa shule zao ni vituo maalum vya kufanyia mitihani, hivyo hawatakiwi kwa namna yoyote kuingilia majukumu ya wasimamizi wa mitihani hiyo.
“Baraza halitasita kukifuta kituo chochote cha mitihani endapo litabaini na kuthibitisha pasina shaka kuwa kituo hicho kinajihusisha na udanganyifu wa mitihani. Tunatoa wito kwa jamii kutoa ushirikiano kwa kipindi hiki cha ufanyikaji wa mitihani ili wanafunzi wafanye kwa utulivu.
“Tunawaasa walimu, wamiliki wa shule, wasimamizi na jamii kwa ujumla kutojihusisha na udanganyifu wa aina yoyote. Wataokiuka haya hatutasita kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria za nchi,” alisema Msonde.
Awali alieleza kuwa wanafunzi hao watafanya masomo matano ambayo ni: Kiswahili, Hisabati, Maarifa ya Jamii, Sayansi na English ambapo mitihani hiyo imeshasafirishwa kupelekwa vituoni
Hivyo makala NECTA Kuvifuta Vituo vya Mitihani Vitakavyofanya Udanganyifu Mwaka huu
yaani makala yote NECTA Kuvifuta Vituo vya Mitihani Vitakavyofanya Udanganyifu Mwaka huu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NECTA Kuvifuta Vituo vya Mitihani Vitakavyofanya Udanganyifu Mwaka huu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/necta-kuvifuta-vituo-vya-mitihani.html
0 Response to "NECTA Kuvifuta Vituo vya Mitihani Vitakavyofanya Udanganyifu Mwaka huu"
Post a Comment