Loading...

NMB YAWAKABIDHI TIKETI WASHINDI WA ‘MASTABATA’ SAFARI YA DUBAI

Loading...
NMB YAWAKABIDHI TIKETI WASHINDI WA ‘MASTABATA’ SAFARI YA DUBAI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NMB YAWAKABIDHI TIKETI WASHINDI WA ‘MASTABATA’ SAFARI YA DUBAI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NMB YAWAKABIDHI TIKETI WASHINDI WA ‘MASTABATA’ SAFARI YA DUBAI
link : NMB YAWAKABIDHI TIKETI WASHINDI WA ‘MASTABATA’ SAFARI YA DUBAI

soma pia


NMB YAWAKABIDHI TIKETI WASHINDI WA ‘MASTABATA’ SAFARI YA DUBAI


Mfamasia wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Enstern Ngao (katikati), akikabidhiwa mfano wa tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi Dubai baada ya kujishindia bahati nasibu ya Benki ya NMB ya MASTA BATA hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Wanao mkabidhi kulia ni Philbert Casmir na Manfredy Kayala maofisa wa NMB kitengo cha huduma za kadi.
Meneja Huduma za Kadi wa Benki ya NMB, Bw. Philbert Casmir (kulia) akikabidhiwa mfano wa tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi Dubai Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Simon Chacha (kushoto) baada ya kujishindia bahati nasibu ya MASTABATA iliyokuwa inaendeshwa na Benki ya NMB hivi karibuni.
Washindi hao Enstern Ngao (wa pili kushoto), pamoja na Simon Chacha (wa pili kulia) wakikabidhiwa mfano wa tiketi zao za ndege kwenda na kurudi Dubai baada ya kujishindia bahati nasibu ya Benki ya NMB iliyojulikana kama MASTABATA hivi karibuni. Wanao wakabidhi wa kwanza kulia ni Philbert Casmir na Manfredy Kayala (kushoto) maofisa NMB kutoka kitengo cha huduma za kadi.
Meneja Huduma za Kadi wa Benki ya NMB, Bw. Manfredy Kayala (katikati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kabla ya kuwakabidhi tiketi hizo Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Simon Chacha (kushoto) na Mfamasia wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Enstern Ngao (kulia) baada ya kujishindia bahati nasibu ya MASTABATA iliyokuwa inaendeshwa na Benki ya NMB hivi karibuni.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Simon Chacha (katikati) akifurahia tiketi yake mara baada ya kukabidhiwa.


Hivyo makala NMB YAWAKABIDHI TIKETI WASHINDI WA ‘MASTABATA’ SAFARI YA DUBAI

yaani makala yote NMB YAWAKABIDHI TIKETI WASHINDI WA ‘MASTABATA’ SAFARI YA DUBAI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NMB YAWAKABIDHI TIKETI WASHINDI WA ‘MASTABATA’ SAFARI YA DUBAI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/nmb-yawakabidhi-tiketi-washindi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NMB YAWAKABIDHI TIKETI WASHINDI WA ‘MASTABATA’ SAFARI YA DUBAI"

Post a Comment

Loading...