Loading...
title : OFISI YA BUNGE YAWASILISHA BAJETI YAKE MBELE YA KAMATI YA BAJETI
link : OFISI YA BUNGE YAWASILISHA BAJETI YAKE MBELE YA KAMATI YA BAJETI
OFISI YA BUNGE YAWASILISHA BAJETI YAKE MBELE YA KAMATI YA BAJETI
Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai (wa pili kushoto) akitoa taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2018/2019 na makadirio ya mapato na matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2019/2020 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama akifafanua jambo kuhusiana na makadirio ya mapato na matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2019/2020 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti George Simbachawene akichangia jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana ili kupokea taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2018/2019 na makadirio ya mapato na matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakifuatilia uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2018/2019 na Makadirio ya mapato na matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Hivyo makala OFISI YA BUNGE YAWASILISHA BAJETI YAKE MBELE YA KAMATI YA BAJETI
yaani makala yote OFISI YA BUNGE YAWASILISHA BAJETI YAKE MBELE YA KAMATI YA BAJETI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala OFISI YA BUNGE YAWASILISHA BAJETI YAKE MBELE YA KAMATI YA BAJETI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/ofisi-ya-bunge-yawasilisha-bajeti-yake.html
0 Response to "OFISI YA BUNGE YAWASILISHA BAJETI YAKE MBELE YA KAMATI YA BAJETI"
Post a Comment