Loading...

RAIS MAGUFULI AMWAPISHA KAMISHNA MLOWOLA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CUBA, APOKEA RIPOTI YA UTENDAJI YA TAKUKURU

Loading...
RAIS MAGUFULI AMWAPISHA KAMISHNA MLOWOLA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CUBA, APOKEA RIPOTI YA UTENDAJI YA TAKUKURU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI AMWAPISHA KAMISHNA MLOWOLA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CUBA, APOKEA RIPOTI YA UTENDAJI YA TAKUKURU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI AMWAPISHA KAMISHNA MLOWOLA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CUBA, APOKEA RIPOTI YA UTENDAJI YA TAKUKURU
link : RAIS MAGUFULI AMWAPISHA KAMISHNA MLOWOLA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CUBA, APOKEA RIPOTI YA UTENDAJI YA TAKUKURU

soma pia


RAIS MAGUFULI AMWAPISHA KAMISHNA MLOWOLA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CUBA, APOKEA RIPOTI YA UTENDAJI YA TAKUKURU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Machi 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Machi 28, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani na akiwa na Naibu wake Brigedia Jenerali John Mbungo pamoja na  Kamishna Valentino Longino Mlowola  baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Machi 28, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kutoka kwa  Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Machi 28, 2019. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya  kupokea vitabu vya Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Alhamisi Machi 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza baada ya kumuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Machi 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kumuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Alhamisi Machi 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani na Naibu wake Brigedia Jenerali John baada ya kumuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Machi 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Kamishna Valentino Longino Mlowola baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Machi 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani na Naibu wake Brigedia Jenerali John Mbungo pamoja na  Kamishna Valentino Longino Mlowola  baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU pamoja na Makamanda wa Mikoa Yote na Maafisa Waandamizi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Machi 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani na Naibu wake Brigedia Jenerali John Mbungo pamoja na  Kamishna Valentino Longino Mlowola  baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Machi 28, 2019.
PICHA NA IKULU 


Hivyo makala RAIS MAGUFULI AMWAPISHA KAMISHNA MLOWOLA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CUBA, APOKEA RIPOTI YA UTENDAJI YA TAKUKURU

yaani makala yote RAIS MAGUFULI AMWAPISHA KAMISHNA MLOWOLA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CUBA, APOKEA RIPOTI YA UTENDAJI YA TAKUKURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AMWAPISHA KAMISHNA MLOWOLA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CUBA, APOKEA RIPOTI YA UTENDAJI YA TAKUKURU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/rais-magufuli-amwapisha-kamishna.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS MAGUFULI AMWAPISHA KAMISHNA MLOWOLA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CUBA, APOKEA RIPOTI YA UTENDAJI YA TAKUKURU"

Post a Comment

Loading...