Loading...
title : RAIS WA TBF AKUTANA NA RC PAUL MAKONDA,WAPEANA MREJESHO UTEKELEZAJI MRADI WA UJENZI UWANJA WA NDANI KIKAPU.
link : RAIS WA TBF AKUTANA NA RC PAUL MAKONDA,WAPEANA MREJESHO UTEKELEZAJI MRADI WA UJENZI UWANJA WA NDANI KIKAPU.
RAIS WA TBF AKUTANA NA RC PAUL MAKONDA,WAPEANA MREJESHO UTEKELEZAJI MRADI WA UJENZI UWANJA WA NDANI KIKAPU.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akiwa na Rais wa Tanzania Basketball Federation (TBF) Phares Magesa, mara baada ya mazungumzo kuhusu maendeleo ya mpira wa Kikapu ambapo pia walipeana mrejesho kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa uwanja wa ndani wa kikapu katika mkoa wa Dar es Salaam, ujenzi wa uwanja wa ndani wa Kikapu na michezo mingine utaanza karibuni mara baada ya mazungumzo na wafadhili wa mradi kukamilika, TBF inamshukuru Mhe.
Makonda kwa ushirikiano wake katika kuhakikisha mkoa wa Dar es Salaam unapata viwanja vya kisasa vya Kikapu na Michezo mingine na Shirikisho linaomba Wakuu wa Mikoa, viongozi wa ngazi mbalimbali na wadau wa maendeleo waige mfano wa Mhe. Makonda na Mhe. Anthony Mtaka katika kutatua changamoto ya miundombinu ya michezo nchini Tanzania, pia TBF inamshukuru sana Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli kwa kuwawezesha Makao Makuu Dodoma kupata mradi wa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa michezo ambao nao utaanza karibuni kwa ufadhili wa Mfalme wa Morocco, www.tbf.or.tz
Hivyo makala RAIS WA TBF AKUTANA NA RC PAUL MAKONDA,WAPEANA MREJESHO UTEKELEZAJI MRADI WA UJENZI UWANJA WA NDANI KIKAPU.
yaani makala yote RAIS WA TBF AKUTANA NA RC PAUL MAKONDA,WAPEANA MREJESHO UTEKELEZAJI MRADI WA UJENZI UWANJA WA NDANI KIKAPU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA TBF AKUTANA NA RC PAUL MAKONDA,WAPEANA MREJESHO UTEKELEZAJI MRADI WA UJENZI UWANJA WA NDANI KIKAPU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/rais-wa-tbf-akutana-na-rc-paul.html
0 Response to "RAIS WA TBF AKUTANA NA RC PAUL MAKONDA,WAPEANA MREJESHO UTEKELEZAJI MRADI WA UJENZI UWANJA WA NDANI KIKAPU."
Post a Comment