Loading...

RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU

Loading...
RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU
link : RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU

soma pia


RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba na Sheria Ndg Goerg Joseph Kazi, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Said Hassan Said, wakihudhuria hafla ya kuapishwa Mawaziri na Makatibu Wakuu walioteuliwa hivi karibuni,hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar leo,(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi, anayeshuhulikia Masuala ua Uvuvi na Mifugo Dr.Omar Ali Amir.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Dkt. Ali Mohamed Shein,akisaini Hati ya Kiapo ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar anayeshughulikia Masuala ya Mifugo na Uvuvi Dr.Omar Ali Amir.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Ndg Seif Shaban Mwinyi, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba, Maji na Nishati. Ndg. Salhina Ameir Mwita, hafla hiyi imefanyika leo Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Bi.Mansura Misi Kassim, hafla hiyo imefanyika Ikulu leo Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Mkuu wa Serikali  Said Hassan Said na kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Ussi Gavu na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh, Omar Saleh Kabi,waliosimama nyumba ni Mawaziri aliowaapisha leo Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)   
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Mkuu wa Serikali  Said Hassan Said na kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Ussi Gavu na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh, Omar Saleh Kabi,waliosimama nyumba ni Makatibu Wakuu na Manaibu aliowaapisha leo Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)     
 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Said Hassan Said, wakihudhuria hafla ya kuapishwa Mawaziri na Makatibu Wakuu walioteuliwa hivi karibuni,hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar leo,(Picha na Ikulu)


Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/rais-wa-zanzibar-dktshein-awaapisha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU"

Post a Comment

Loading...