Loading...
title : TRA IGUNGA YAFANYA OPERESHENI YA KUKAGUA MATUMIZI YA MASHINE ZA EFD
link : TRA IGUNGA YAFANYA OPERESHENI YA KUKAGUA MATUMIZI YA MASHINE ZA EFD
TRA IGUNGA YAFANYA OPERESHENI YA KUKAGUA MATUMIZI YA MASHINE ZA EFD
Na Amisa Mussa
Mamalaka ya Mapato ( TRA ) Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora imeendesha Operasheni maalumu ya kukagua na kutoa Elimu ya matumizi ya mashine za Kielektroniki ( Efd ) kwa Wafanyabiashara wilayani humo,na kubaini kuwepo kwa baadhi ya Wafanyabiashara ambao Bado wanafanya biashara bila kutoa risiti za Manunuzi kwa Wateja wao,jambo ambalo ni kinyume cha sheria ya mapato.
Oparesheni hiyo ambayo imeongozwa na Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Wilaya ya Igunga,John Mgeni amesema Mamlaka hiyo licha ya kuwaelimisha Wafanyabiashara na Wananchi Wilayani humo kuhusu Matumizi Sahihi ya mashine za Kielektroniki (Efd), Lakini bado amebaini kuna tatizo,hivyo amebainisha kuwa hatua kali zitakazochukuliwa dhidi ya Wafanyabiashara na Wateja watakao shindwa Kuzingatia Utaratibu huo na kusababisha kurudisha nyuma Ukusanyaji wa Mapato ya Serikali.
Kaimu Meneja Wa Mamlaka Ya Mapato (TRA) Wilaya Ya Igunga, John Mgeni akikagua mashine ya EFD
Kaimu Meneja Wa Mamlaka Ya Mapato (TRA) Wilaya Ya Igunga, John Mgeni akikagua mashine ya EFD kwenye moja ya duka.
Hivyo makala TRA IGUNGA YAFANYA OPERESHENI YA KUKAGUA MATUMIZI YA MASHINE ZA EFD
yaani makala yote TRA IGUNGA YAFANYA OPERESHENI YA KUKAGUA MATUMIZI YA MASHINE ZA EFD Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TRA IGUNGA YAFANYA OPERESHENI YA KUKAGUA MATUMIZI YA MASHINE ZA EFD mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/tra-igunga-yafanya-operesheni-ya.html
0 Response to "TRA IGUNGA YAFANYA OPERESHENI YA KUKAGUA MATUMIZI YA MASHINE ZA EFD"
Post a Comment