Loading...
title : RC MAKONDA AJITOLEA KUWASOMESHA HADI KIDATO SITA WATOTO 100 WA KIKE WALIOFAULU MASOMO YA SAYANSI.
link : RC MAKONDA AJITOLEA KUWASOMESHA HADI KIDATO SITA WATOTO 100 WA KIKE WALIOFAULU MASOMO YA SAYANSI.
RC MAKONDA AJITOLEA KUWASOMESHA HADI KIDATO SITA WATOTO 100 WA KIKE WALIOFAULU MASOMO YA SAYANSI.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa ahadi ya kuwasomesha kuanzia kidato cha tano hadi cha sita bure wasichana 100 waliofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi katika matokeo ya mtihani wa kidato nne ili kuongeza idadi ya wanawake wataalamu na wabobezi wa nyanja mbalimbali.
RC Makonda amesema amegundua kuwa wapo mabinti wengi waliofaulu vizuri masomo yao lakini kutokana na wazazi wao kutokuwa na uwezo wa kuwaendeleza kielimu wameishia kupoteza ndoto zao hivyo ameona ni vyema akawaendeleza.
Aidha RC Makonda ameeleza kuwa wasichana hao watagharamiwa kila kitu kuanzia ada,mabegi,vitabu na sare za shule ili wabaki na kazi moja pekee ya kusoma na kufaulu.
Hayo yote yamejiri leo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika ukumbi wa Mlimani City na kuhudhuriwa na Maelfu ya wanawake.
Hivyo makala RC MAKONDA AJITOLEA KUWASOMESHA HADI KIDATO SITA WATOTO 100 WA KIKE WALIOFAULU MASOMO YA SAYANSI.
yaani makala yote RC MAKONDA AJITOLEA KUWASOMESHA HADI KIDATO SITA WATOTO 100 WA KIKE WALIOFAULU MASOMO YA SAYANSI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AJITOLEA KUWASOMESHA HADI KIDATO SITA WATOTO 100 WA KIKE WALIOFAULU MASOMO YA SAYANSI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/rc-makonda-ajitolea-kuwasomesha-hadi.html
0 Response to "RC MAKONDA AJITOLEA KUWASOMESHA HADI KIDATO SITA WATOTO 100 WA KIKE WALIOFAULU MASOMO YA SAYANSI."
Post a Comment