Loading...
title : RC MGHWILA ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA NEW GENERATION MPWAPWA DODOMA .
link : RC MGHWILA ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA NEW GENERATION MPWAPWA DODOMA .
RC MGHWILA ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA NEW GENERATION MPWAPWA DODOMA .
Anaandika Dixon Busagaga.
MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro,Dkt Anna Mghwira ametembelea kambi ya mabingwa wa soka mkoa wa Kilimanjaro,timu ya New Generation na kuanikiza ushindi katika mchezo wao wa Kwanza wa Ligi ya mabingwa wa mkoa utakaopigwa leo katika uwanja wa Mgambo ,Mpwapwa mkoani Dodoma.
Dkt. Mgwira amefika katika kambi ya timu hiyo akiwa na wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya ya Mwanga,Moshi DC,Siha na Manispaa ya Moshi na kutoa motisha ya fedha kwa wachezaji .
Wakurugenzi walioambatana na Dkt Mghwira ni pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi,Michael Mwandezi, Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi ,Castory Msigala, Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mwanga,Zefrin Lubuva na Valerian Juwal, Mkurugenzi Halmashauri ya wilaya ya Siha.
Katika mazungumzo yake na wachezaji wa New Generation,Mkuu wa Mkoa Dkt Mghwira aliwataka kuhakikisha wanashinda michezo yao katika kituo hicho ili kuwapa nguvu wadau ya kuendelea kuisadia timu hiyo huku akitoa wito watu mbalimbali kujitokeza kusaidia timu hiyo.
Timu ya New Generation FC Leo inacheza m hezo wake wa Kwanza dhidi ya timu ya Timberland kutoka mkoani Lindi. Kwa upande wake ,Meneja wa timu Laurant kinabo ameshukuru ujio wa ugeni huo kufika Mpwapwa kuwatia moyo wachezaji huku wakiaahidi kufanya vyema katika michezo yao yote ili kuibeba heshima ya mkoa wa Kilimanjaro.

Hivyo makala RC MGHWILA ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA NEW GENERATION MPWAPWA DODOMA .
yaani makala yote RC MGHWILA ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA NEW GENERATION MPWAPWA DODOMA . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MGHWILA ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA NEW GENERATION MPWAPWA DODOMA . mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/rc-mghwila-atembelea-kambi-ya-timu-ya.html
0 Response to "RC MGHWILA ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA NEW GENERATION MPWAPWA DODOMA ."
Post a Comment