Loading...

Rest In Peace Ephraim Kibonde, *Alikuwa akitokea Bukoba Kwenye Maziko ya Ruge Mutahaba

Loading...
Rest In Peace Ephraim Kibonde, *Alikuwa akitokea Bukoba Kwenye Maziko ya Ruge Mutahaba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rest In Peace Ephraim Kibonde, *Alikuwa akitokea Bukoba Kwenye Maziko ya Ruge Mutahaba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rest In Peace Ephraim Kibonde, *Alikuwa akitokea Bukoba Kwenye Maziko ya Ruge Mutahaba
link : Rest In Peace Ephraim Kibonde, *Alikuwa akitokea Bukoba Kwenye Maziko ya Ruge Mutahaba

soma pia


Rest In Peace Ephraim Kibonde, *Alikuwa akitokea Bukoba Kwenye Maziko ya Ruge Mutahaba

Rest In Peace Ephraim Kibonde,


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

PIGO jingine Clouds Media Group! Ndivyo unavyoweza kuzungumzia taarifa za kufariki Dunia kwa Mtangazaji wake maarufu Ephraim Kibonde.

Kwa mujibu wa taarifa za Uongozi wa Clouds Media Group kupitia kwa Sebastian Maganga ambazo wamezitoa mapema hii zinasema Kibonde amefarikia dunia leo asubuhi ya Machi 7,2019. Amesema taarifa nyingine kuhusu kifo cha Kibonde zitaendelea kutolewa ili kuufahamisha umma. 

Awali Mkuu wa Mwanza John Mongela alikuwa wa kwanza kutoa taarifa za kufariki kwa Kibonde ambapo amesema kifo chake kimetokana na kusumbuliwa na shinikizo la damu ambalo lilianza tangu akiwa mkoano Kagera.

"Ephraim Kibonde amefariki akiwa hapa mkoani Mwanza ambako alikuwa anasumbuliwa na presha tangu akiwa kwenye shughuli za mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Ruge Mutahaba," amesema Mongella.

Kibonde alikuwa miongoni kwa wafanyakazi wa Clouds Media walioambatana na waombolezaji wengine kwenda kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele aliyekuwa Mkurugezi wa Vipindi na Uzalishaji Ruge Mutahaba ambaye alifariki Dunia Februari 26 mwaka huu nchini Afrika Kusini.

Michuzi Media Group, ambayo ilipata kufanya mahojiano ya mwisho na marehemu Kibonde wakati wa msiba wa Ruge kupitia Michuzi TV,  inaungana na Watanzania wengine kutoa pole kwa familia ya marehemu Ephraim Kibonde,wafanyakazi wa Clouds Media Group,ndugu,jamaa na marafiki.
Bwana Ametoa,
 na Bwana Ametwaa.
Jina lake na lihimidiwe
AMINA


Hivyo makala Rest In Peace Ephraim Kibonde, *Alikuwa akitokea Bukoba Kwenye Maziko ya Ruge Mutahaba

yaani makala yote Rest In Peace Ephraim Kibonde, *Alikuwa akitokea Bukoba Kwenye Maziko ya Ruge Mutahaba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rest In Peace Ephraim Kibonde, *Alikuwa akitokea Bukoba Kwenye Maziko ya Ruge Mutahaba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/rest-in-peace-ephraim-kibonde-alikuwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rest In Peace Ephraim Kibonde, *Alikuwa akitokea Bukoba Kwenye Maziko ya Ruge Mutahaba"

Post a Comment

Loading...