Loading...

Wanawake Shehia ya Tumbatu watakiwa kujitokeza kutoa tarifa za utelekezwaji

Loading...
Wanawake Shehia ya Tumbatu watakiwa kujitokeza kutoa tarifa za utelekezwaji - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wanawake Shehia ya Tumbatu watakiwa kujitokeza kutoa tarifa za utelekezwaji, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wanawake Shehia ya Tumbatu watakiwa kujitokeza kutoa tarifa za utelekezwaji
link : Wanawake Shehia ya Tumbatu watakiwa kujitokeza kutoa tarifa za utelekezwaji

soma pia


Wanawake Shehia ya Tumbatu watakiwa kujitokeza kutoa tarifa za utelekezwaji

Sheha wa shehiya ya tumbatu jongowe Miza Ali Sharif.


Na Mwajuma Juma

SHEHA wa Shehiya ya Tumbatu Jongowe, Miza Ali Sharif amesema kuwa wanawake  wa eneo lake wamekuwa kimya kutoa taarifa za utelekelezwaji kwa kuhofia kunyooshewa vidole ‘Kutengwa’.

Akizungumza na waandishi wa habari waliofika katika shehiya hiyo alisema kuwa katika shehiya yake kumekuwepo na vitendo vya utekelezaji wanawake na watoto walioachika lakini wanashindwa kutoa ripoti.

Alisema kuwa mpaka sasa tokea kutumikia nafasi hiyo amepokea lalamiko moja tu la mama ambae ameachwa na mumewe na baadae kuachiwa watoto pasipo na kusaidiwa.

“Si kama matendo haya hayapo lakini wanawake wenyewe wanashindwa kutoa taarifa kwa kuhofia kuonnyeshewa vidole”, alisema Sheha huyo.

Hata hivyo akizungumzia kuhusu utelekezaji wa wanawake kwa wanaume wanaoenda dago kuvua alisema kuwa hilo limepunguwa kwa kiasi kikubwa kutokana na wanaume sasa kuwekea muda maalumu wa kukaa dago.

Alisema kuwa hilo wamefanikiwa kuliweza kutokana na kuunda kanuni ndogo ndogo ambazo zinawapa muda maalumu wa kukaa huko pamoja na kuwalazimisha kutoa matunzo kila mwezi kwa kila kipindi wanachokaa.

Hivyo aliwataka wanawake kutokaa kimya na badala yake wajitokeze kutoa ripoti kwa matendo yote ambayo wanafanyiwa ikiwemo kutelekezwa na watoto.


Hivyo makala Wanawake Shehia ya Tumbatu watakiwa kujitokeza kutoa tarifa za utelekezwaji

yaani makala yote Wanawake Shehia ya Tumbatu watakiwa kujitokeza kutoa tarifa za utelekezwaji Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wanawake Shehia ya Tumbatu watakiwa kujitokeza kutoa tarifa za utelekezwaji mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/wanawake-shehia-ya-tumbatu-watakiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wanawake Shehia ya Tumbatu watakiwa kujitokeza kutoa tarifa za utelekezwaji"

Post a Comment

Loading...