Loading...
title : SERIKALI YA TANZANIA YATOA MISAADA YA MADAWA NA CHAKULA KWA MSUMBIJI, MALAWI NA ZIMBABWE ZILIZOKUMBWA NA MAADA YA MAFURIKO
link : SERIKALI YA TANZANIA YATOA MISAADA YA MADAWA NA CHAKULA KWA MSUMBIJI, MALAWI NA ZIMBABWE ZILIZOKUMBWA NA MAADA YA MAFURIKO
SERIKALI YA TANZANIA YATOA MISAADA YA MADAWA NA CHAKULA KWA MSUMBIJI, MALAWI NA ZIMBABWE ZILIZOKUMBWA NA MAADA YA MAFURIKO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi wa Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika wakipokea misaada ya madawa na vyakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi wa Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika wakagua madawa na vyakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.

Askari wa Jeshi la Ulinzi wakishusha misaada ya madawa na chakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi za Malawi, Msumbiji na Zimbabwe ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.
Askari wa Jeshi la Ulinzi wakishusha misaada ya madawa na chakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi za Malawi, Msumbiji na Zimbabwe ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi wa Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika wakipokea misaada ya madawa na vyakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.
Picha na Ikulu.
Hivyo makala SERIKALI YA TANZANIA YATOA MISAADA YA MADAWA NA CHAKULA KWA MSUMBIJI, MALAWI NA ZIMBABWE ZILIZOKUMBWA NA MAADA YA MAFURIKO
yaani makala yote SERIKALI YA TANZANIA YATOA MISAADA YA MADAWA NA CHAKULA KWA MSUMBIJI, MALAWI NA ZIMBABWE ZILIZOKUMBWA NA MAADA YA MAFURIKO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YA TANZANIA YATOA MISAADA YA MADAWA NA CHAKULA KWA MSUMBIJI, MALAWI NA ZIMBABWE ZILIZOKUMBWA NA MAADA YA MAFURIKO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/serikali-ya-tanzania-yatoa-misaada-ya.html
0 Response to "SERIKALI YA TANZANIA YATOA MISAADA YA MADAWA NA CHAKULA KWA MSUMBIJI, MALAWI NA ZIMBABWE ZILIZOKUMBWA NA MAADA YA MAFURIKO"
Post a Comment