Loading...
title : SHONZA AKUTANA NA WADAU WABUNIFU WA MITINDO NA USHONAJI
link : SHONZA AKUTANA NA WADAU WABUNIFU WA MITINDO NA USHONAJI
SHONZA AKUTANA NA WADAU WABUNIFU WA MITINDO NA USHONAJI
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akizungumza na wabunifu wa mitindo na ushonaji (hawapo pichani), baada ya kufungua kikao kusikiliza changamoto zao, kikao hicho kilifanyika katika Uwanja wa Mpira wa Taifa (National Stadium ) Jijini Dar es Salaam, kulia ni Rais wa TAFCA, Adrian Nyangamalle na Kaimu Mkurugenzi wa Sanaa, Bi. Leah Kahimbi.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akitoa afafanuzi wa jambo kwa wabunifu wa mitindo na ushonaji ( hawapo pichani ), baada ya kufungua kikao kusikiliza changamoto zao, kikao kilifanyika Uwanja wa Mpira wa Taifa (National Stadium ) Jijini Dar es Salaam, kulia ni Rais wa TAFCA, Adrian Nyangamalle na Kaimu Mkurugenzi wa Sanaa, Bi. Leah Kahimbi.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akijibu swali la mmoja ya washiriki katika kikao cha Wabinifu wa mitindo na ushonaji, kilichofanyika katika Uwanja wa Mpira wa Taifa (National Stadium ) Jijini Dar es Salaam, kulia ni Rais wa TAFCA, Adrian Nyangamalle na Kaimu Mkurugenzi wa Sanaa, Bi. Leah Kahimbi na kushoto ni katibu mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) Godfery Mngereza.
Kaimu Mkurugenzi wa Sanaa, Bi. Leah Kahimbi (aaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto) kuhusu changamoto zilizotolewa na Wabunifu wa Mitindo katika kikao kilichofanyika Uwanja wa Mpira wa Taifa (National Stadium ) Jijini Dar es Salaam, kulia ni Rais wa TAFCA.
Mbunifu wa Mitindo Airinda Sawe (Afrika sana), akichangia hoja mbele ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo, Juliana Shonza katika kikao cha Wabinifu wa mitindo na ushonaji kilichofanyika Uwanja wa Mpira wa Taifa (National Stadium ) Jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa Mitindo na Mshonaji kutoka Chuo cha Ufundi(VETA) Athanasia Kisyeli akitoa mawazo yake kuhusu sanaa ya mitindo na ushonaji mbele ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo, Juliana Shonza(hayupo pichani) aliyeitisha kikao cha kuwasikiliza Wabunifu wa mitindo na ushonaji, kilichofanyika katika Uwanja wa Mpira wa Taifa (National Stadium ) Jijini Dar es Salaam.
Mwenyeketi wa Chama cha fashion Association Tanzania (FAA) ambaye pia ni Mbunifu wa mitindo, Mustafa Hassanali akieleza changamoto ambazo wanakumbana nazo katika kazi zao.
Mbunifu wa mitindo na Mshonaji kutoka Speshoz, Jeff akitoa mchango wa mawazo wa kuinua tasnia ya ubunifu na ushonaji katika kikao cha Wabunifu na Washonaji kilichofanyika Uwanja wa Mpira wa Taifa (National Stadium ) Jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa kikao cha Wabunifu na washonaji wakimsikiliza Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (hayupo pichani) wakati wa kikao, kilichofanyika Uwanja wa Mpira wa Taifa (National Stadium ) Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala SHONZA AKUTANA NA WADAU WABUNIFU WA MITINDO NA USHONAJI
yaani makala yote SHONZA AKUTANA NA WADAU WABUNIFU WA MITINDO NA USHONAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHONZA AKUTANA NA WADAU WABUNIFU WA MITINDO NA USHONAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/shonza-akutana-na-wadau-wabunifu-wa.html
0 Response to "SHONZA AKUTANA NA WADAU WABUNIFU WA MITINDO NA USHONAJI"
Post a Comment