Loading...

siku ya madaktari nchini yaadhimishwa Dar es salaam

Loading...
siku ya madaktari nchini yaadhimishwa Dar es salaam - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa siku ya madaktari nchini yaadhimishwa Dar es salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : siku ya madaktari nchini yaadhimishwa Dar es salaam
link : siku ya madaktari nchini yaadhimishwa Dar es salaam

soma pia


siku ya madaktari nchini yaadhimishwa Dar es salaam

 Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Mohamed Bakari akizungumza kwenye mkutano wa kuadhimisha siku ya madaktari nchini ambayo hufanyika Machi 4 kila mwaka. Katika mkutano huo, Prof. Kambi amewataka madaktari kuzingatia weledi na maadili wakati wa kutoa huduma katika sehemu zao za kazi. Prof. Kambi alimwakilisha Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu. Katika mkutano huo, Prof. Kambi aliwataka madaktari nchini kuzingatia weledi na maadali katika kutoa huduma ya matibabu kwa wananchi. Pia, amewataka madaktari nchini kuiunga mkono Serikali katika mipango yake ya kuboresha huduma za afya nchini ikiwamo huduma za ubingwa na ubingwa wa juu. Mkutano huo uliandaliwa na Chama cha Madaktari Tanzania (MAT).
 Baadhi ya madaktari wakimsikiliza Prof. Kambi wakati akizungumza nao kwenye mkutano ambao umefanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Elisha Osati akieleza historia fupi ya  maadhimisho ya siku ya madaktari duniani.
  Madaktari wakifuatilia mkutano huo ambao umewakutanisha madaktari mbalimbali.
 Mkurugenzi Rasilimali Watu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Bw. Makwaia Makani akizungumza kwenye mkutano huo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Prof. Kambi kuzungumza na madaktari hao.  
  Baadhi ya madaktari vijana wakisikiliza nasaha kutoka kwa Bw. Makani ambaye pia aliwasisitiza kuzingatia weledi wakati wa kuwahudumia wagonjwa ili kutoa huduma bora za matibabu.
 Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Mohamed akimkabidhi tuzo Prof. Philimon Sarungi kwa kuthamini mchango wake alioutoa katika Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT).
Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Mohamed Bakari akimkabidhi tuzo Prof. Yadon Mtarima Kohi ikiwa moja ya njia ya kutambua mchango wake alioutoa katika chama hicho.
  Prof. Bakari akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya madaktari wakongwe wakiwamo waliokabidhiwa tuzo.
Picha ya pamoja katika mkutano wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT)



Hivyo makala siku ya madaktari nchini yaadhimishwa Dar es salaam

yaani makala yote siku ya madaktari nchini yaadhimishwa Dar es salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala siku ya madaktari nchini yaadhimishwa Dar es salaam mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/siku-ya-madaktari-nchini-yaadhimishwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "siku ya madaktari nchini yaadhimishwa Dar es salaam"

Post a Comment

Loading...