Loading...

SIMBA YAUNGURUMA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO, YAIFUNGISHA VIRAGO AS VITA MATAIFA YA AFRIKA

Loading...
SIMBA YAUNGURUMA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO, YAIFUNGISHA VIRAGO AS VITA MATAIFA YA AFRIKA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMBA YAUNGURUMA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO, YAIFUNGISHA VIRAGO AS VITA MATAIFA YA AFRIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMBA YAUNGURUMA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO, YAIFUNGISHA VIRAGO AS VITA MATAIFA YA AFRIKA
link : SIMBA YAUNGURUMA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO, YAIFUNGISHA VIRAGO AS VITA MATAIFA YA AFRIKA

soma pia


SIMBA YAUNGURUMA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO, YAIFUNGISHA VIRAGO AS VITA MATAIFA YA AFRIKA

 Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

Klabu ya Simba inafanikiwa kuingia katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kuifunga timu ya As Vita goli 2-1  na kushika nafasi ya pili kwenye Kundi D.

Mechi hiyo imechezwa leo katika dimba la Uwanja wa Taifa na msumari wa ushindi uliwekwa na Clotous Chota Chama na kuivusha Simba kwenye hatua ya Makundi.

Ilikua dakika ya 12, As Vita wanaandika goli la kwanza kupitia kwa mchezaji wake Fabrice Ngoma na kuipa timu yake uongozi.

Katika dakika ya 32, Mohamed Hussein anaipatia Simba goli la kusawazisha na kwenda mapumziko wakiwa 1-1.

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi Simba wakisaka goli la ushindi  na As Vita nao wakitafuta namna ya kupenya katika ngome ya ulinzi ya Simba.

Simba wanalisakama lango la As vita na wakipoteza nafasi nyingi za wazi mabadiliko ya kumtoa Emanuel Okwi na kuingia Haruna Niyonzima yaliweza kuzaa matunda na kurejesha uhai katika kikosi hicho.

Katika dakika ya 86, Simba wanafanya shambulizi langoni mwa As Vita na kumalizia pasi ya Zana Coulibaly na kuzima matumiani ya As vita kwenda hatua ya robo fainali.

Filimbi ya mwisho inapigwa Simba wanavyka hatua hiyo kwa alama 9 akiwa nyuma ya Alhly mwenye alama 10 baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wao dhidi JS Saoura.












































Hivyo makala SIMBA YAUNGURUMA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO, YAIFUNGISHA VIRAGO AS VITA MATAIFA YA AFRIKA

yaani makala yote SIMBA YAUNGURUMA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO, YAIFUNGISHA VIRAGO AS VITA MATAIFA YA AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YAUNGURUMA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO, YAIFUNGISHA VIRAGO AS VITA MATAIFA YA AFRIKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/simba-yaunguruma-uwanja-wa-taifa-jijini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIMBA YAUNGURUMA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO, YAIFUNGISHA VIRAGO AS VITA MATAIFA YA AFRIKA"

Post a Comment

Loading...