Loading...
title : SOLSKJAER ALAMBA MKATABA WA KUDUMU MAN UNITED
link : SOLSKJAER ALAMBA MKATABA WA KUDUMU MAN UNITED
SOLSKJAER ALAMBA MKATABA WA KUDUMU MAN UNITED
Klabu ya Manchester United imeweza kumpatia Mkataba wa miaka Mitatu Veterani wa Timu Hiyo Ole Gunnar Solskjaer mara baada ya kufanya Vizuri mara baada ya kupewa jukumu la kuwa kocha wa muda wa timu hiyo akirithi mikoba ya kocha Machachari Joseph Mourinho ambaye akuweza kufanya vyema na kikosi hicho na kuwafanya mashabiki wa klabu hiyo kuwa na gazabu kubwa mno.
Ole Gunnar Solskjær (alizaliwa Kristiansund 26 Februari 1973) ni mchezaji wa soka wa zamani wa Norway. Alicheza mara nyingi kama mshambuliaji katika timu ya Manchester United iliyopo nchini Uingereza katika jiji la Manchester,. Pia alichezea timu ya taifa ya Norway
Solskjær alijiunga na Manchester United mwaka 1996 kwa ada ya uhamisho wa £ 1.5 milioni. Alicheza mechi 366 kwa klabu hiyo na akafunga mabao 126 wakati wa mafanikio kwa klabu hiyo. Mwaka 1999, alifunga mabao manne kwa dakika kumi na mbili dhidi ya Nottingham Forest.
Mnamo 2007, Solskjær alitangaza kustaafu soka baada ya kushindwa kupona majeraha makubwa ya magoti. Hata hivyo, alibakia Manchester United katika jukumu la kufundisha na pia katika uwezo wa balozi. Mwaka 2008, Solskjær akawa meneja wa timu ya hifadhi ya klabu.
Hivyo makala SOLSKJAER ALAMBA MKATABA WA KUDUMU MAN UNITED
yaani makala yote SOLSKJAER ALAMBA MKATABA WA KUDUMU MAN UNITED Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SOLSKJAER ALAMBA MKATABA WA KUDUMU MAN UNITED mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/solskjaer-alamba-mkataba-wa-kudumu-man.html
0 Response to "SOLSKJAER ALAMBA MKATABA WA KUDUMU MAN UNITED"
Post a Comment