Loading...

Dkt. Ussi atembelea Shamba Asilia nchini Cuba

Loading...
Dkt. Ussi atembelea Shamba Asilia nchini Cuba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt. Ussi atembelea Shamba Asilia nchini Cuba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dkt. Ussi atembelea Shamba Asilia nchini Cuba
link : Dkt. Ussi atembelea Shamba Asilia nchini Cuba

soma pia


Dkt. Ussi atembelea Shamba Asilia nchini Cuba

Naibu Waziri wa Kilimo, Maliasili, Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Dkt. Makame Ali Ussi, ametembelea shamba la mimea asilia ( organic farm ) nchini Cuba, ambapo alipata maelezo juu ya uzalishaji wa mazao mbalimbali bila kutumia kemikali ambapo mradi huo umeweza kuajiri wafanyakazi takribani 200 wakiwemo wazee na vijana. Wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Shamba hilo, wa pili kutoka kulia ni mkalimani Bi. Beatriz Soto na wa kwanza kushoto ni Afisa kilimo, Bw. Jose Antonio. 
Mhe. Dkt. Ussi akiendelea kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa shamba hilo, Bw.Miguel Angel Lopez, wa kwanza kulia ni Afisa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Mohamed Kamal Mohamed, akisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa. 

Mhe. Dkt. Ussi akiendelea kupata maelezo juu ya kilimo cha miwa. 
Juu na chini Mhe. Dkt. Ussi akipata maelezo namna ya utengenezaji wa mbolea isiyokuwa na kemikali yeyote. 
Bw. Lopezi akimwonyesha Mhe.Dkt. Ussi teknolojia ya kifaa cha kupandia mazao. 
Mhe. Dkt. Ussi akizungumza na mmoja wa wakulima kwenye shamba hilo, aliyeonekana kufurahishwa na ujio wa Watanzania.
Sehemu ya mazao yanayopatikana kwenye shamba hilo. 





Hivyo makala Dkt. Ussi atembelea Shamba Asilia nchini Cuba

yaani makala yote Dkt. Ussi atembelea Shamba Asilia nchini Cuba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Ussi atembelea Shamba Asilia nchini Cuba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/dkt-ussi-atembelea-shamba-asilia-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Dkt. Ussi atembelea Shamba Asilia nchini Cuba"

Post a Comment

Loading...