Loading...

UNESCO watembelea Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro

Loading...
UNESCO watembelea Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UNESCO watembelea Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UNESCO watembelea Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro
link : UNESCO watembelea Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro

soma pia


UNESCO watembelea Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro

Na Ripota wetu ,Arusha

Timu ya Wataalamu kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), imetembelea Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro NCAA.

Wataalamu hao walitembelea eneo hilo la urithi wa dunia mchanganyiko kutokana na Tanzania kujiunga na kuwa mwanachama wa UNESCO tangu mwaka 1962.

Katika ziara yao timu hiyo ilifanikiwa kutembelea maeneo ya mradi wa ujenzi wa barabara unaotarajiwa kuanza kujengwa hivi karibuni na NCAA kwa kiwango cha tabaka gumu zege ili kurahisha shughuli za utalii, na masuala mengine ndani ya eneo hilo.

Ujio wa timu hiyo umetajwa kuwa ni utaratibu wa kawaida ambapo hutembelea maeneo ya urithi wa dunia kuangalia changamoto za uhifadhi na kutoa ushauri au mapendekezo.

Mkuu wa timu ya wataalamu wa Shirika la Umoja wa Mataifa inaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamduni (UNESCO), Edmound Moukala (katikati), akimsikiliza Kaimu Meneja Idara ya Urithi wa Utamaduni na Mratibu wa UNESCO eneo la NCCA Selestine Ummanuel.

Meneja wa Idara ya Utafiti na Ufuatliaji Mamlaka ya Hifadhi ya gorongoro(NCAA), Julius Kibebe akizungumza kwa niaba ya Kamishna wa Uhifadhi NCAA Dk. Fredy Manongi kwenye majumuisho ya ziara ya wataalamu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamduni (UNESCO), waliopo kushoto kwake.

Mkuu wa timu ya wataalamu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamduni (UNESCO), Edmound Moukala akisisitiza jambo kwenye kikao cha majumuisho baada ya kutembelea baadhi ya maeneo ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorogoro.

Pix6. Mwakili wa Baraza la Wafugaji Tarafa ya Ngorongoro akichangia wakati wa majumuisho ya timu ya wataalamu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamduni (UNESCO), waliotembelea maeneo tofauti ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro NCAA. 


Hivyo makala UNESCO watembelea Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro

yaani makala yote UNESCO watembelea Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UNESCO watembelea Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/unesco-watembelea-mamlaka-ya-hifadhi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UNESCO watembelea Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro"

Post a Comment

Loading...