Loading...
title : UWT KATA YA SARANGA WATAKIWA KUJITOKEZA KUCHUKUA NAFASI ZA UONGOZI
link : UWT KATA YA SARANGA WATAKIWA KUJITOKEZA KUCHUKUA NAFASI ZA UONGOZI
UWT KATA YA SARANGA WATAKIWA KUJITOKEZA KUCHUKUA NAFASI ZA UONGOZI
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Dar es Salaam, Dorothy Kilave akizungumza na Wanawake Kata ya Saranga kwenye ziara ya kikazi kwa kata zote za Wilaya ya Ubungo ambapo amewaagiza Wanawake kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za uongozi.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Dar es Salaam,Dorothy Kilave,akikagua Maonesho ya Wanawake wajasiriamali wa kata ya Saranga
Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam akiongea na Wanawake wa kata ya Saranga kwenye ziara ya Mwenyekiti wa wa UWT Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Dar es Salaam,Dorothy Kilave, akicheza na Wanawake wa kata ya Saranga
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Ubungo akimkaribisha Mwenyekiti wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Dar es Salaam,Dorothy Kilave, akikabidhi kadi kwa Wanachama wapya wa UWT Wilaya ya Dar es Salaam.
Wanachama wa Umoja wa Wanawake wa Kata ya Saranga wakimsikiliza Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Dar es Salaam,Dorothy Kilave
Hivyo makala UWT KATA YA SARANGA WATAKIWA KUJITOKEZA KUCHUKUA NAFASI ZA UONGOZI
yaani makala yote UWT KATA YA SARANGA WATAKIWA KUJITOKEZA KUCHUKUA NAFASI ZA UONGOZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UWT KATA YA SARANGA WATAKIWA KUJITOKEZA KUCHUKUA NAFASI ZA UONGOZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/uwt-kata-ya-saranga-watakiwa-kujitokeza.html
0 Response to "UWT KATA YA SARANGA WATAKIWA KUJITOKEZA KUCHUKUA NAFASI ZA UONGOZI"
Post a Comment