Loading...

Wanawake Wizara ya Habari waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kutoa misaada Kituo cha Afya Chamwino.

Loading...
Wanawake Wizara ya Habari waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kutoa misaada Kituo cha Afya Chamwino. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wanawake Wizara ya Habari waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kutoa misaada Kituo cha Afya Chamwino., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wanawake Wizara ya Habari waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kutoa misaada Kituo cha Afya Chamwino.
link : Wanawake Wizara ya Habari waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kutoa misaada Kituo cha Afya Chamwino.

soma pia


Wanawake Wizara ya Habari waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kutoa misaada Kituo cha Afya Chamwino.



 Mwenyekiti wa Wanawake Wizara ya Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo Bibi.Prisca Shewale akikabidhi vitu mbalimbali kwa  niaba ya wanawake wa Wizara hiyo kwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Chamwino Dkt.Zipora Mfugale  kwa ajili ya wanawake, watoto na wenye uhitaji maalum waliolazwa kituoni hapo ikiwa ni kuamdhimisha Siku ya Wanawake Duniani leo Wilayani Chamwino.
PIC 2
Afisa Utumishi Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi.Jacquiline Kalua akimpa vifaa mbalimbali Bibi Marietha Maiko alielazwa Kituo Cha Afya Chamwino wakati wanawake wa Wizara hiyo walipotembelea kituo hicho katika kuamdhimisha Siku ya Wanawake Duniani leo Wilayani Chamwino.
PIC 3
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi.Lorietha Laurence akitoa vifaa mbalimbali kwa Bibi Regina Balabaido alielazwa Kituo Cha Afya Chamwino wakati wanawake wa Wizara hiyo walipotembelea kituo hicho katika kuamdhimisha Siku ya Wanawake Duniani leo Wilayani Chamwino.
PIC 4
Afisa Habari wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bibi.Lilian Lundo akitoa vifaa mbalimbali kwa Bibi Molen Mwaiko alielazwa Kituo Cha Afya Chamwino wakati wanawake wa Wizara hiyo walipotembelea kituo hicho katika kuamdhimisha Siku ya Wanawake Duniani leo Wilayani Chamwino.
PIC 5
Baadhi ya Wanawake Wizara ya Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Kituo Cha Afya Chamwino mara baada ya kutembelea Kituo hicho na kutoa misaada mbalimbali kwa wagojnwa waliolazwa kituoni hapo ikiwa ni kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.


Hivyo makala Wanawake Wizara ya Habari waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kutoa misaada Kituo cha Afya Chamwino.

yaani makala yote Wanawake Wizara ya Habari waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kutoa misaada Kituo cha Afya Chamwino. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wanawake Wizara ya Habari waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kutoa misaada Kituo cha Afya Chamwino. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/wanawake-wizara-ya-habari-waadhimisha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wanawake Wizara ya Habari waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kutoa misaada Kituo cha Afya Chamwino."

Post a Comment

Loading...