Loading...

Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen

Loading...
Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen
link : Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen

soma pia


Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen

Waziri wa Viwanda na Biashara, George Kakunda ameuomba Ubalozi wa Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen ili kuongeza chachu ya maendeleo ya uchumi.

Pia amesema ni lazima taasisi zote za serikali na viwanda kutumia mfumo huo ili kuleta mabadiliko ya tabia kwa wafanyakazi na kuongeza uzalishaji.

Ameyasema hayo jana Machi 1, 2019 wakati akitoa tuzo kwa kampuni zilizoongoza katika matumizi ya Kaizen.
Kakunda amesema ili kufikia Dira ya Maendeleo ya mwaka 2025 ya kuwa na uchumi wa kati, ni lazima kupunguza vizuizi ikiwemo kodi nyingi zinazotozwa na mamlaka mbalimbali ambazo haziwezi kusaidia kufikia uchumi husika.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, George Kakunda akizungumza wakati wa kutoa tuzo kwa kampuni zilizoongoza katika matumizi ya Kaizen katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka,MMG)

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, George Kakunda akimkabidhi tuzo kwa kampuni zilizoongoza katika matumizi ya Kaizen katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)


Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, George Kakunda akiangalia bidhaa za baadhi ya wajasiriamali mara baada ya kutembelea mabanda wakati wa hafla ya kutoa tuzo kwa kampuni zilizoongoza katika matumizi ya Kaizen katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
Picha ya pamoja


Hivyo makala Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen

yaani makala yote Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/waziri-kakunda-auomba-ubalozi-wa-japan.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen"

Post a Comment

Loading...