Loading...
title : WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAPOKEZI YA MWILI WA MAMA YAKE VICKY KAMATA JIJINI MWANZA
link : WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAPOKEZI YA MWILI WA MAMA YAKE VICKY KAMATA JIJINI MWANZA
WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAPOKEZI YA MWILI WA MAMA YAKE VICKY KAMATA JIJINI MWANZA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata kwenye uwanja wa Ndege wa Mwanza wakati aliposhiriki katika mapokezi ya mwili wa Paulina Kasama Selemani ambaye ni mama mzazi wa Mbunge huyo, uliosafirishwa kwa Ndege kutoka Dar es salaam kwenda Geita kwa mazishi, Machi 19, 2019. Watatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo ambaye ni kaka wa marehemu na kulia ni Mume wa Mbunge huyo, Dkt. Servicius Likwelile. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAPOKEZI YA MWILI WA MAMA YAKE VICKY KAMATA JIJINI MWANZA
yaani makala yote WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAPOKEZI YA MWILI WA MAMA YAKE VICKY KAMATA JIJINI MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAPOKEZI YA MWILI WA MAMA YAKE VICKY KAMATA JIJINI MWANZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/waziri-mkuu-ashiriki-mapokezi-ya-mwili.html
0 Response to "WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAPOKEZI YA MWILI WA MAMA YAKE VICKY KAMATA JIJINI MWANZA"
Post a Comment