Loading...
title : WAZIRI MKUU ASHUHUDIA USHINDI WA TAIFA STARS DHIDI YA YA UGANDA
link : WAZIRI MKUU ASHUHUDIA USHINDI WA TAIFA STARS DHIDI YA YA UGANDA
WAZIRI MKUU ASHUHUDIA USHINDI WA TAIFA STARS DHIDI YA YA UGANDA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishangilia bao la tatu la Taifa Stars katika mechi ya kufuzu kuingia katika michuano ya mataifa ya Afrika iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Machi 24, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezana na Rais wa TFF, Wallace Karia baada ya mwamuzi kupuliza kipenga cha kumaliza mechi kati Taifa Stars na Timu ya Taifa ya Uganda kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salam, Machi 24, 2019. Taifa Stars ilishinda 3-0. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU ASHUHUDIA USHINDI WA TAIFA STARS DHIDI YA YA UGANDA
yaani makala yote WAZIRI MKUU ASHUHUDIA USHINDI WA TAIFA STARS DHIDI YA YA UGANDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU ASHUHUDIA USHINDI WA TAIFA STARS DHIDI YA YA UGANDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/waziri-mkuu-ashuhudia-ushindi-wa-taifa.html
0 Response to "WAZIRI MKUU ASHUHUDIA USHINDI WA TAIFA STARS DHIDI YA YA UGANDA"
Post a Comment