Loading...

WAZIRI MPANGO NA KAIRUKI WAWASILI WILAYA YA HAI KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WAWEKEZAJI WALIYOWASILISHA KWA RAIS MAGUFULI.

Loading...
WAZIRI MPANGO NA KAIRUKI WAWASILI WILAYA YA HAI KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WAWEKEZAJI WALIYOWASILISHA KWA RAIS MAGUFULI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MPANGO NA KAIRUKI WAWASILI WILAYA YA HAI KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WAWEKEZAJI WALIYOWASILISHA KWA RAIS MAGUFULI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MPANGO NA KAIRUKI WAWASILI WILAYA YA HAI KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WAWEKEZAJI WALIYOWASILISHA KWA RAIS MAGUFULI.
link : WAZIRI MPANGO NA KAIRUKI WAWASILI WILAYA YA HAI KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WAWEKEZAJI WALIYOWASILISHA KWA RAIS MAGUFULI.

soma pia


WAZIRI MPANGO NA KAIRUKI WAWASILI WILAYA YA HAI KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WAWEKEZAJI WALIYOWASILISHA KWA RAIS MAGUFULI.

Anaandika Dixon Busagaga.Hai.

WAZIRI wa fedha na Mipango Dkt Philip Mpango akiwa ameongozana na Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Angela Kairuki wamefika katika wilaya ya Hai,mkoani Kilimanjaro kushughulikia kile alichokiita unyanyasaji kwa wawekezaji.

Mawaziri hao wanakutana na Makundi mbalimbali kwa nyakati tofauti kusikiliza malalamiko yao waliyowasilisha kwa Mh Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli.


Miongoni mwa Makundi na taasisi zinazoshiriki kikao hicho kinachofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai n pamoja na kundi la wawekezaji, Viongozi wa vyama vya ushirika,Mamlaka ya Mapato (TRA) ,Uhamiaji,TIC na Viongozi was serikali ngazi ya mkoa na wilaya ya Hai na Siha.
Waziri was Fedha na Mpango ,Dkt Philip Mpango (katika) akizungumza wakati wa kikao na wawekezaji wenye malalamiko pamoja na Viongozi wa serikali na baadhi ya taasisi zake.kushoto ni Waziri was nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Angela Kairuki na kulia no Mkuu wa Kilimanjaro Dkt Anna Mghwira.
Baadhi ya wajumbe wa kikao hicho wakifuatilia maelezo ya Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango kuhusu unyanyasaji kwa wawekezaji.


Hivyo makala WAZIRI MPANGO NA KAIRUKI WAWASILI WILAYA YA HAI KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WAWEKEZAJI WALIYOWASILISHA KWA RAIS MAGUFULI.

yaani makala yote WAZIRI MPANGO NA KAIRUKI WAWASILI WILAYA YA HAI KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WAWEKEZAJI WALIYOWASILISHA KWA RAIS MAGUFULI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MPANGO NA KAIRUKI WAWASILI WILAYA YA HAI KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WAWEKEZAJI WALIYOWASILISHA KWA RAIS MAGUFULI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/waziri-mpango-na-kairuki-wawasili.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MPANGO NA KAIRUKI WAWASILI WILAYA YA HAI KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WAWEKEZAJI WALIYOWASILISHA KWA RAIS MAGUFULI."

Post a Comment

Loading...